Simuelewi huyu kimwana.

we unapenda mteremko! Wako warembo wanavaa engagement ring na pete za ndoa kumbe hawana hata boyfrend. Mi hata uniambie unawatoto wawili, au una mchumba wa muda mrefu na mnapendana sana, mi nakupa kitongozo hivyo hivyo nikishakula ndo nitajua ustaarabu mwingine! Msiwe mnakata tamaa kirahisi. Mambo mazuri hayataki haraka
 
hawa viumbe wanakuwaga hawaeleweki-mmi naona kama bado una m-feel-rudisha majeshi this time atakubali
 
kama haumtaki niPM number yake mie niendeleze.kitu kinakuja chenyewe halafu wewe unaanza malingo?
 
Mhh tumezoea kufukuziwa mwaka ndio tukubali, ikala kwake
 
Mkuu heshima sana. Ruksa kuwa na mitazamo tofauti. Hakuna anayependa mteremko, nimesema kama anahitaji mda kufanya maamuzi atafute maneno ya kusema siyo eti ana mtu na wanapendana sana.. Wewe labda unatafuta bidada wa kugonga na kusepa, hujali atakukubali lini anakukataa leo unatafuta mwingine unapozea yeye unamuweka kiporo siku akijileta unatafuna unakula kona! Sasa jiulize, siku atatokea mtu sahihi mwenye future naye anaendeleza tabia za uongo oh nina mtu tunapendana, siju nini na kila aina ya uongo, Ndo maana wengine tunapenda msichana ajiamini na awe huru kufanya maamuzi yake, siyo nimfuatilie kama hana hisia zozote kwangu. Nimekupenda, chukua mda wako pima, kama una hisia na mimi fine, huna sepa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…