Simuelewi mchumba wangu naomba ushauri plz plz

Deokman

New Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
1
Reaction score
1
Mimi na mchumba anasoma 4m 1 ana miaka 16 tunapendana sana 2 hivi juzijuzi ka niambia ananipenda sana lakini anaomba nimuache asome because hawezi ku mix mapenzi na masomo anataka tuwe marafiki 2 naombeni ushauri yani sijui ata nifanye nini mimi nampenda sana
 
Shetani we ....ushindwe na ulegeeeee maungo yote mpaka amalize masomo yake
 
we bw.ege nini? Pumbafu wewe na ningekujua ningekuchoma mshale wa sumu
 
Una umri gani wewe? Mwache mwenzako asome na heshimu maamuzi yake na liombee ilo pepo la ngono likutoke kbs. Unachotakiwa kujua huyo mwenzio bado mdogo sana hana maamuzi sahihi zaid ya ww kumrubuni
 
yelewiii
kale kabinti kangu nakashonea ch***i ya bati, kama ndo hivi!!!

Wee mleta mada una miaka mingapi?
 
Njoo nikupeleke keko kun awashauri wazuri pale
 
Wewe Deokman kama ushaharibika usitake kumuharibia mwenzio maisha yake akiwa bado mdogo!

Nakushauri kama hujafanya mapenzi usubiri hadi utakapokua.. Kama umewahi kufanya kitendo hicho kabla katika unri ulio nao unatakiwa ujutie kitendo hicho na usali kwa Mungu wako usirudie tena!
 
Kumbe Jf ina mpaka wanafunzi wa form one!! ukiona mtoto anaanza kuwaza haya mambo ktk huu umri huwa hafiki mbali.
 
Reactions: SG8

Mchumba ana miaka kumi na sita!!!! Huyo mchuma yupo sahihi kabisa, mwache asome.
 
hee tena ingefaa upende kutembelea jukwaa la elimu badala ya kuja mmu jana tumetoka kusherehekea maendeleo ya mwanamke afu leo unatuletea upumbavu wa kurudisha maendeleo ya huyo binti nyuma.mbona mgumu kuelimika wewe upuuzi mtupu!!!
 
Huiogopi hata jamhuri mkuu?shaurizo,utamfuata babu seya soon.
 
hawa vijana wa enzki ya jakaya...kweli wanapenda mapenzi....sasa mwana wewe achana nae asome wewe nenda mega wengine ambao wanaweza handle mapenzi na masomo.
 
Wewe una matatizo ya akil wewe..njoo me nna miaka nane 16/2...
Af huyu kaamua kuboa watu..hana lolote
 
Usijali dogo hichi ni kipindi cha mpito,foolish age itaisha tu mkuu vumilia tu msikize mawazo yake!!
 

una laaaaaaaaaaaaaanaaaaaaaaaaaaaa ya kuzaliwaa wewe
??????????????????????loh shame on you kamchumbie dadako mzazi mwenye umri huo kama unaweza
 
Huyu ameshakubuhu mijimama sasaimemshosha anaanzaa kutaka kuibemenda mitoto ya shule loh
!!!!siku ya wanawake duniani kuna kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…