Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Mfumo wa elimu wa Tanzania ni, seven, four, two, three. mbona kwa umri wako ulitakiwa uulize maswali ya elimu au ni somo gani linakusumbuwa darasani?

25 kwa 20

hivi kipimo cha mapenzi ni hayo unayoona jamaa yako hayafanyi unavyotaka wewe au unavyoona wenzio wanafanyiwa...watu wako tofauti bwana hebu nenda nae jinsi alivyo mwisho wa siku mtafika mnapotaka,acha kuangalia au kusikiliza mashosti zako kwenye mahusiano yao ya kiisidingo.

Mfumo wa elimu wa Tanzania ni, seven, four, two, three. mbona kwa umri wako ulitakiwa uulize maswali ya elimu au ni somo gani linakusumbuwa darasani?

Soma kwa bidii, haya mambo hayana mwisho. kwa sasa zingatia masomo darasani.
kwa simple calculation umi wako ulipaswa uwe high school.

nipo kazin

mkwe nani kakufundisha hiyo?

heeh,mkwe! hiyo nilijifunza kwa babu mkwe! hivi unajua watu huwa hawaulizi maswali ambayo hawana majibu yake?