simuelewi mwanamke huyu

mm nitakulaumu ww kwann ulimpa ushauri huo?ambao haufai?
 
sasa unashangaa nini?! wakati wewe ndio ulomwambia aombe talaka!! ....... oa na wewe umegewe.
 
ni mwanamke ndio haeleweki au wewe???
maana ulimwambia adai talaka,amefanya hivyo....kipi usichokielewa sasa?:mad2:
 
:mad2::A S angry: nipite mie hapa utoto mtupu
 
naamini wewe do tatizo kubwa kwan tamaa yako unataka kumharibia mke wa mtu mahusiano yake .. je wakati unashauriana naye kuomba talaka ulitegemea apewe nishani?? kapewa talaka unaishangaa vuna ulichopanda​
 
Wengine wanaingia kwenye ndoa kwa SHINIKIZO FULANI bila ruhusa ya mioyo yao sasa labda kaona best selection yake imeangukia kwako hivyo kaa nae kwanza usiharakishe kufunga ndoa naye coz inawezekana ikawa ni wale wanawake wasio na msimamo ikala kwako.
 

Kama kungekuwa na tuzo za Wapumbavu/Vilaza wa JF, you would have my vote brah
 
Humuelewi eeh! Ndo utakapomuelewa sasa
 
sasa kashafanya ulichotaka afanye...timiza ahadi yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…