hi wana jf,nina mpenzi wangu tuliyedumu miaka mitano sasa but kwa kipindi hiki simuelewi amebadilika,ananfanyia visa mara ohh mimi namdharau na muona boya,simpend but kiukwel nampend na sijawai kumdharau kibaya zaid anamwambia rafki yang mimi na yeye it over,me mwenyewe hajaniambi zaidi ya kuniambia nisimpigie wala nisimtumie masseg na namba zangu kafuta zote,sababu maalum hatoi,roho inaniuma bado nampend,nifanye nini ndugu zangu
Kuna marekebisho kidogo mm ni dada na si mkuu, pia asante kwa ushauri wako[/COLOR]
Pole sana,...ila kuna kitu mimi nashindwa kuelewa kidogo_inakuwaje mpnz wako anakuambia usimtumie tena sms na namba zako kafuta halafu wewe unajifanya kichwa ngumu eti bado hajakuambia muachane eti anamwambia rafiki yako,...mkuu achana na tabia za kulazimisha mambo_kama mwanamke anakuwekea vikwazo ambavyo vinakuumiza ni bora uachane nae mapema
Acha kupenda pale pasipopendeka,....wewe una wako hapa chini ya jua na yeye pia usimlaumu kwani naye ana wake na labda ndio kampata...amka kung'uta vumbi halafu anza safari.....thats how we live/do
Nashkuru sana Eiyer ndo maana nakupenda, kwel kuishi na mtu hasiyejiamin ni kazi kubwaHuyo hajiamini dada,ni shida sana kuishi na mtu wa aina hii,huna sababu ya kuumia roho,pia huna sababu ya kulazimisha kupenda,acha na mawazo ya;"nitampata wapi kama huyu?"au "nampenda mno"kama angekua anajua thamani ya kupendwa asingefanya anayofanya,utapata mpenzi mzuri na atakaeitunza hesima yako na thamani yako pia,furahia maisha dada,usikubali mtu au mazingira yakuamulie hisia zako ziwe chungu au tamu!Amua mwenyewe!
hi wana jf,nina mpenzi wangu tuliyedumu miaka mitano sasa but kwa kipindi hiki simuelewi amebadilika,ananfanyia visa mara ohh mimi namdharau na muona boya,simpend but kiukwel nampend na sijawai kumdharau kibaya zaid anamwambia rafki yang mimi na yeye it over,me mwenyewe hajaniambi zaidi ya kuniambia nisimpigie wala nisimtumie masseg na namba zangu kafuta zote,sababu maalum hatoi,roho inaniuma bado nampend,nifanye nini ndugu zangu
Kuna marekebisho kidogo mm ni dada na si mkuu, pia asante kwa ushauri wako
nashukuru kwani naamini Mungu yupo atanisaidia kufanya vile unavyonishauriPole sana,... lakini asukushughulishe sana huyo hajui kupenda wala maana yakupendwa,kua mvumilivu,kama unafanya kazi jiweke busy na kazi yako sikwambi kama nirahisi kumsahau unaempenda lakini kama huna jinsi na wala usipoteze time yako kumbembeleza kwani staki mwenzie basi,kama yeye anakuona hufai basi vuta subra Mungu atakupa wako wakulishana zabibu.
hatukugombana ila alikuwa mbali kidogo ya mji alivyorudi akawa amebadirika,lakini nitamtafuta nimsikie anasemaje ikishindikana basi nitaachia ngazipole kwa hayo je kulikuwa na ugomvi wowote kabla ya hapo?....kwa vile bado unampenda jaribu kumtafuta kwa njia nyingine tofauti na simu umsikie anasemaje...........mwisho kama unaona haiwezekani jipe moyo utampata mwingine atakayekupenda nawe umpende.