Simuelewi

Mmmh, pole dada, jipe moyo songa mbele. Utapata wa kukupenda. Mwanaume ukijifanya unampenda wakati yeye hakupendi atakuumiza tu, atakutesa atakunyanyasa, achana naye.
asante, kwel mapenz yanarun dunia yyan hapa nimechoka na maisha
 
Pole sana,
hiyo ni ishara kuwa hakuhitaji tena kimapenzi,na mapenzi hayahitaji kulazimishwa,
ila mi naona ni vizuri ukimtafuta na kumwuliza sababu ya yeye kuachana na wewe,
ili kama kuna kosa umemkosea pasipo wewe kulifahamu basi uweze kufahamishwa,
ili ilo kosa usiweze kulirudia tena katika mahusiano yako yajayo.
Lakin huko kufahamishwa kwako kusiwe sababu ya wewe kurudiana na wewe.
Kufahamu sababu ya kuachwa kwako kuna faida nyingi.
 
Kusoma huwezi, hata kuangalia picha?
 
na hilo la kutaka aniambie ukwel ndo ninalolifanya na kulitaka japo yy ananikwepa
 
Mtu akikuchoka visa haviishi he got tired of u! Try to flash ur self out. Pole
 
sasa ulijuaje kama kafuta namba zako??anyway hapo hesabu hauna mtu vinginevyo unafuata matatizo tu
 
Nashkuru sana Eiyer ndo maana nakupenda, kwel kuishi na mtu hasiyejiamin ni kazi kubwa
Thanx nakupenda pia,kama anakusumbua wapo wengi wanaoijua thamani yako na kuienzi!
 
hatukugombana ila alikuwa mbali kidogo ya mji alivyorudi akawa amebadirika,lakini nitamtafuta nimsikie anasemaje ikishindikana basi nitaachia ngazi
kubali matokeo dada jamaa kashakumwaga jipange upya, vipi mlishachakachuana ?
 
Thanx nakupenda pia,kama anakusumbua wapo wengi wanaoijua thamani yako na kuienzi!
Asante sana, ndo hivyo nimeamua kukaa pemben niepuke msongamano
 
Kuna marekebisho kidogo mm ni dada na si mkuu, pia asante kwa ushauri wako

Pole kwa yote achana nae asikufanye ushindwe kufanya mambo yako ya kimaendeleo tulia atakuja atakaye kuheshimu na kukupenda.
hapo kwenye red usiogope ni kawaida kwa member wa JF kuitana Mkuu/Wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…