aka2030 JF-Expert Member Joined Jan 5, 2013 Posts 2,657 Reaction score 3,679 May 5, 2013 #1 Kwani nyimbo zenu zisipopigwa clouds kuna shida gani mpaka mlalame hivyo redio zipo nyingi mbona jamani
Kwani nyimbo zenu zisipopigwa clouds kuna shida gani mpaka mlalame hivyo redio zipo nyingi mbona jamani
mdeki JF-Expert Member Joined Mar 28, 2011 Posts 3,299 Reaction score 475 May 5, 2013 #2 Hutamuelewa mpaka ukubari kutaka kumuelewa Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Binti Magufuli JF-Expert Member Joined Apr 2, 2011 Posts 7,479 Reaction score 5,157 May 5, 2013 #3 wabongo kwa majungu utawaweza sasa, hapo umewafikisha hata wale ambao hawanaa baya walotendewa wataanza kufwata mkumbo
wabongo kwa majungu utawaweza sasa, hapo umewafikisha hata wale ambao hawanaa baya walotendewa wataanza kufwata mkumbo