Mohammed Hamad
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 3,988
- 1,308
Anamtafutia balaa mwenzake.Hii kitu gani ? Kwani huyo jamaa yake hayuko hapa jamvini? Sipati picha siku akifanya hivyo.
Du pedi tena!!Sioni tatizo ila akikuomba pedi tuelezee pengine watu watachambua hoja pamoja na hii ya leo kuweza kulianika tatizo.
My take.
Perfume za kike na deodorant nyingi harufu yake ina kuwa ya kupooza "cool" na si ya kuumiza kichwa hujawahi kuona mtu kapita dakika kumi na tano zilizopita lakini harufu yake bado ipo? Kwahiyo wanaume wengine hutumia baadhi ya perfume za kike zilizotulia harufu zake mfano kuna kapafyum ka bei rahisi kanaitwa bondage ya kike ni very light lakini ya kiume ipo strong!
kusema kweli huwa namnunulia genuine perfumes, hata kama unahisi namnunulia zilichakachuliwa tell me about hizo lotion,shower gel na body spray na zenyewe ni za kichina???Labda hizo unazomnunulia ni za kuchakachua.. akipata kitu genuine mwenyewe atakubali, jaribu kumnunulia Hugo Boss, Obsession by Calvin Klein, Acqua Di Gio by Giorgio Armani; am sure hizo hata wewe kila akivua shati utakuwa unalinusa:smile-big::lying:
Inawezekana anapenda kutumia MTANDAO WA EXTREME!:smile-big:
kusema kweli huwa namnunulia genuine perfumes, hata kama unahisi namnunulia zilichakachuliwa tell me about hizo lotion,shower gel na body spray na zenyewe ni za kichina???
akili ya chini ya kapetihuyo ana mwanamke mwingine ambaye pia anatumia perfume kama zako, hiyo anatumia zako ili hata akiwa na yule mwingine wewe using'amue and vice versa.
ulivyozing'ang'ania hizo brand!! nimekwambia anapenda za kwangu na hapendi hizo masculine branded perfumes kitu kilichopelekea mimi kuuliza if its normal for a man kupenda feminine perfumesFrom the above naona anapenda harufu nzuri nzuri flowerly.... basi cha kufanya jaribu hizi Hugo Boss, Obsession by Calvin Klein, Acqua Di Gio by Giorgio Armani; kama hatapenda basi jaribu unisex perfurmes na kama hatapenda basi mwambie muuza duka ni perfume gani za kiume zenye harufu kali na ya kuvutia i think sio tatizo bali anapenda harufu nzurinzuri na kila mtu anamapenzi yake so he needs to find a perfect brand for himself.. lakini hizo bei za suggestion zangu am sure ukimnunulia hawezi kuacha kutumia sababu its expensive and value for money
Du pedi tena!!
jamani nisaidieni mwenzenu, huyu bwana anapenda sana kutumia vipako vyangu vya kike! yaani utakuta nina perfume yangu naye ana yake lakini atatumia yangu kisa eti zinanukia vizuri, hivyo hivyo kwa deodorant na body spray. sio kwamba hana zake anazo kuna saa hadi nadiriki kumnunulia spray ambazo zimeandikwa for men lakini naona hana interest kabisa! labda vyangu viwe vimeisha!hadi shower gel jamani ataacha ile ya for men atatumia yangu. Kuna siku ndio aliniacha hoi alinijia na body spray imeandikwa for women nikamshangaa nikamuuliza mwenzangu hiyo ulipewa zawadi ama ulinunua mwenyewe akasema alinunua mwenyewe yeye aliconsider harafu!yaani hadi lotion atapaka za kwaku,mimi sina tatizo la kushea nae vitu ila swali langu is this normal au mimi najishtukia????
We mdada jamani khaa!
yaani kushe pafyumu tu unaona balaa? Wenzio wanashea wanaume na wametulia maisha yanasonga mbele.