Mzee wa busara
Hahaha...naona bado naongoza....sina mpinzani hakyanani.
Huyo mdada angejua hapa muzee nimetinga chup.i ya wife wala asingeanzisha hii sredi.
Si ndo kila siku tunasema sharing is Caring?
Ha ha ha duuhh we mkali. Nilikumiss sana bana nilikuwa porini no network toka jana. Utaongoza milele
Hilo litakuwa la ngapi naliweka moyoni?
Maporini wapi huko hata posting via mobile haiwezekani?
Karibu kwetu Bunju huku tulime matikiti maji na matango huku tunasurf JF!
Bunju iko Dar vile eeehhh kuna mashamba?? Ahhh ok kwetu huku Mpitimbi mobile nayo ukitumia sana charge inakata haraka halafu pakuchagia foleni
huyo ana mwanamke mwingine ambaye pia anatumia perfume kama zako, hiyo anatumia zako ili hata akiwa na yule mwingine wewe using'amue and vice versa.
akili ya chini ya kapeti
We mdada jamani khaa!
yaani kushe pafyumu tu unaona balaa? Wenzio wanashea wanaume na wametulia maisha yanasonga mbele.
Dada mchunguze vizuri huyo atakuwa na tabia za sgoga bottom,sasa wakati mnado hebu peleka vidole kwenye tigo yake uone riaksheni y*ke
raha ya penzi lako kwake... ila siku aking'ang'ania sidiria na kypi chako...muwahishe akaombewe..!jamani nisaidieni mwenzenu, huyu bwana anapenda sana kutumia vipako vyangu vya kike! yaani utakuta nina perfume yangu naye ana yake lakini atatumia yangu kisa eti zinanukia vizuri, hivyo hivyo kwa deodorant na body spray. sio kwamba hana zake anazo kuna saa hadi nadiriki kumnunulia spray ambazo zimeandikwa for men lakini naona hana interest kabisa! labda vyangu viwe vimeisha!hadi shower gel jamani ataacha ile ya for men atatumia yangu. Kuna siku ndio aliniacha hoi alinijia na body spray imeandikwa for women nikamshangaa nikamuuliza mwenzangu hiyo ulipewa zawadi ama ulinunua mwenyewe akasema alinunua mwenyewe yeye aliconsider harafu!yaani hadi lotion atapaka za kwaku,mimi sina tatizo la kushea nae vitu ila swali langu is this normal au mimi najishtukia????
jamani nisaidieni mwenzenu, huyu bwana anapenda sana kutumia vipako vyangu vya kike! yaani utakuta nina perfume yangu naye ana yake lakini atatumia yangu kisa eti zinanukia vizuri, hivyo hivyo kwa deodorant na body spray. sio kwamba hana zake anazo kuna saa hadi nadiriki kumnunulia spray ambazo zimeandikwa for men lakini naona hana interest kabisa! labda vyangu viwe vimeisha!hadi shower gel jamani ataacha ile ya for men atatumia yangu. Kuna siku ndio aliniacha hoi alinijia na body spray imeandikwa for women nikamshangaa nikamuuliza mwenzangu hiyo ulipewa zawadi ama ulinunua mwenyewe akasema alinunua mwenyewe yeye aliconsider harafu!yaani hadi lotion atapaka za kwaku,mimi sina tatizo la kushea nae vitu ila swali langu is this normal au mimi najishtukia????
Mkuu umivaa G-string? ucje tu ukaja humu na brazia!!:A S 39:Hahaha...naona bado naongoza....sina mpinzani hakyanani.