Simulewi mwanaume huyu!!!!

afazali mnashea pafyum, kuna wengine wanashare bange!
 

Una maana 'mtoto wa mama' au? Inawezekana sana.
 
nashindwa kukomenti, labda nimuulize huyo mwenye hoja,
1) yeye alihisi mumewe ana nini/tatizo gani?
2) je hizo hisia zako ulishawahi kujaribu kumchunguza kama anapenda vitu vingine vya kikekike zaidi ya hayo manukato na vipodozi (labda kujipaka poda za uso, kutembea na vipodozi akienda kazini hasa kioo kidogo, kupenda visuruali vya kupana eneo la makalio, ulalaji wake, je anachukua muda mrefu sana akiwa anaoga/ anapenda kioo/kujitazama sana, ulishawahi kumwona akijiangalia makalio yake akiwa kwenye kioo, vipi kuhusu ushikaji wake wa kijiko na umma) kuna vitu vingi vya kumwangalia
3) la mwisho na la muhimu ni je hiyo tabia alikuwa nayo tangu mwanzo ama ndio kaianza hivi karibuni/ukubwani?

miji mikubwa ina mambo makubwa mtu anaweza kuwa alikuwa wa kawaida kabisa, lakini baada ya muda anabadilika kama mlenda
 

makubwa umesema hadi kuitika kama mwanamke? Mashaka!
 
nashindwa kukomenti, lakini labda ningemuuliza maswali mtoa mada/hoja
1) baada ya kumuona mumeo na hivyo vitabia wewe ulihisi nini/tatizo gani?
2) ulishawahi kumchunguza mumeo na kuona anatabia zingine za kukutia hofu zaidi ya hizo za kijipodoa (kuchukua muda mrefu bafuni, kuchukua muda mrefu kwenye kioo, ulishawahi kumchunguza jinsi anavyojiangalia na kujigeuzageuza kwenye kioo, vipi suruali zake anazovaa ni zile za kubana makalio?, kupenda kutembea na vipodozi, ulaji wake na unywaji wake ukoje, uongeaji wake ukoje
3) la mwisho na la muhimu ni je hizi tabia alikuwa nazo tangu zamani ama ndio amezianza hivi karibuni

miji mikubwa ina mambo makubwa, unaweza kumwona mtu ngangari kabisa na wakawaida kiuchumi, lakini baada ya mwaka ukikutananae unaweza shangaa, laini kama mlenda na anasukuma mashine ya nguvu na huku anasimamia ujenzi, ndio hapo utajiuliza kumbe mtu zikikutembelea lazima ulegee
 

Je?Wewe ujawahi kutumia vipodozi vya kiume. Hiyo mimi naona kawaida kwa wanaopendana.
 
Hapa sion tatizo lolote...inaelekea jamaa anapenda manukato yenye harafu kali....likewise kuna wanawake wengi wanapenda manukato ya kiume kuliko ya kike.
 
Pigeni bajeti ya pamoja kwa ajili ya vipodozi. Halafu nunua vipodozi vya kike tu kwa ajili ya watu wawili halafu mnaendelea na maisha kama kawaida.
 

Mshunguze vizuri anaweza kuwa na tabia za kike au akawa shoga chunguza vizuri
 
Mbona mi sioni tatizo liko wapi? Ku share perfume kawaida sana...kwanza deodorant za kiume mi nazipenda sana zina manukato matamu kuliko za kike...likewise mume wangu kuna perume zangu anapenda na once in a while hupitia kwenye drawer yangu...no problem at all.....ila mengine sijui ya kujiangalia makalio duhhhh......
 
ndo maana yako,naunga mkono hoja ya fimbo ya asali,cjakataa kkushea kupo ila hyo ni too much,hayo mapenz ya nzige tunaita huku:A S kiss:
Dada mchunguze vizuri huyo atakuwa na tabia za sgoga bottom,sasa wakati mnado hebu peleka vidole kwenye tigo yake uone riaksheni y*ke
 
in short huyo ni jamii ya punga ndo wale waleeee hami jeiii,wakay wa ku do analia yeye
 
nailyne tafadhali usifuate ushauri huu utang'olewa meno yote ya sebuleni
1.hatang'olewa meno huyo,jamaa ndi kwanza atafurahia na kukata mauno.
2.huyo bibie anaishi na shoga au shoga mtarajiwa,msiogope kumweleza ukweli.
3.mwanamme anaependa vitu vya kikekike basi hata kuliwa tigo anatamani.
 
Mhhh yaani mwanaume anapenda anukie kike???!!! Hlf hiyo ni kawaida??? perfumes, spray na deodorants ni kw ajili ya kukufanya unukie hivo kwa wengine... so yeye anataka anukie kama mkewe mbele za watu??? Poa lkn
 
funza dume wanaume wengi tu marijali wanapenda kushikwa kinyeo wakati wa majambo na wako fiti miaka nenda rudi.mwaya wala sio shoga mumeo ni mapenzi tu na hizo harufu kali za marashi ya kike
ukimgusa kalio utaona anazidi kukusogezea ukiendelea utasia "mi staki huko" im joking dont quote me wrong
 
dada hiyo ni hali ya kawaida mimi pia napenda sana marashi ya kiume sababu sipendi za kike zina shout sana pia hata body spray natumia nivea for men perfume natumia dunhill desire,aqua na kama hizo mwache tu ila mwambia akienda dukani anunue za kike
 
1.hatang'olewa meno huyo,jamaa ndi kwanza atafurahia na kukata mauno.
2.huyo bibie anaishi na shoga au shoga mtarajiwa,msiogope kumweleza ukweli.
3.mwanamme anaependa vitu vya kikekike basi hata kuliwa tigo anatamani.

na mie naependa za kiume nianze kuwamega wanawake? au sijajijua jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…