Lugha inayojulikana leo kama kibantu, ni lugha ya zamani sana. Kama wewe ni mbantu ukisoma maneno ya ancient Sumeria (wakati inakaliwa na watu weusi, Hamites) utashangaa kwamba unaelewa baadhi ya maneno hayo. Ancient Sumeria ilikuwa eneo ambalo leo linajulikana kama Iraq. Wanadamu wote baada ya kutoka kwenye safina ya Noah walikaa kwenye eneo hilo la Iraq.
Wa ancient Sumerians walikuwa na miungu yao ya kipagani mmoja wapo aki itwa Anu na mwingine Antu. Wabantu ina weza kumaanisha watoto wa Anu au watoto wa Antu. Miungu hii feki ili letwa na ma agent wa Shetani kama njia ya kuwa danganya watu ili wamsahau Mungu wa kweli wa Noah.
Nimrod alijenga mji wa Babel ambao pia uko maeneo hayo ya Iraq ya leo. Mji wa Ur ulikuwa jirani na Sumeria. WaShem ndio walikua wakiishi Ur ya Wakaldayo. Abraham alitokea Ur, ndio akahamia Canaan. Abraham alivyoenda Misri na Mke wake Sarah, wale wamisri wa wakati ule na yule pharao walikua ni watu weusi.
Baada ya gharika la Noah, Nimrod mwana wa Cush mwana wa Ham, aliongoza watu (wote wa dunia kwa wakati ule) kujenga mnara wa Babel. Mnara huu ulijengwa kama njia ya kukaidi amri ya Mungu iliyowataka binadamu watawanyike wakaijaze dunia. Inahisiwa kwamba binadamu waliogopa kutawanyika. Mungu akawachanganya lugha zao na aka watawanya.
So mataifa yote yalitawanyika kutoka kwenye mnara wa Babeli. Mnara huu wa Babeli uko ndani ya Iraq ya leo. Mataifa yaliotawanywa yalikuwa 70. Na walipangiwa na Mungu waende wapi. Binadamu wote wa leo wametokana na haya mataifa 70.
Sehemu kubwa ya wabantu ni vitukuu wa Phut mwana wa Ham mwana wa Noah. Kuna ambao ni vitukuu wa Misraim mwana wa Ham mwana wa Noah. Kuna ambao ni vitukuu wa Cush mwana wa Ham mwana wa Noah. Phut leo hii ni Libya na Algeria. Misraim leo hii ni Misri (Egypt). Wamisri wa kale walikuwa ni waafrika weusi. Cush ilikua eneo ambalo leo hii linaitwa Sudan. Na vile vile sehemu ya maeneo ya Iraq na Saudi Arabia na Yemen. Wacush wa kale pia walikuwa waafrika weusi. Kuna kipindi sehemu kubwa ya watu weusi duniani walizungumza lugha ya kibantu.
Spiritually Babeli ni arch enemy wa Jerusalem. Unaweza ukaona ishara siku ile ya Pentekoste watu waliomwamini Yesu waliweza kuelewana lugha ingawa walikuwa watu wa mataifa mbali mbali. Wakati watu wa mnara wa Babeli waliomwasi Mungu hawakuelewana lugha, ingawa hapo awali walikuwa wanaongea lugha moja.
Pale Babel ndio ilikuwa mwanzo wa counterfeit religions baada ya gharika la Noah.
Jerusalem mpya ndio mama wa dini ya kweli.
From Adam hadi Abraham (around 2000 years) patriachs ndio walikua watunzaji wa tumaini la injili. From Abraham hadi Yesu (around 2000 years) Abraham, Isaac, Jacob na uzao wao (Taifa la Israel la wakati ule) ndio walikua custodian wa tumaini la injili. Baada ya Stephen kupigwa mawe around 35 AD, kanisa ndio limekuwa mtunzaji mkuu wa injili.
Miaka 2000 baada ya Stephen kupigwa mawe inaishia around 2035, hii itatimiza miaka 2000 ya injili kwenda kwa mataifa na kanisa kuwa mtunzaji mkuu wa injili.
So huenda kuna mabadiliko ya majira na nyakati (a change in times and seasons) yatatokea mitaa ya miaka ya 2030-2040. Wakati huo dunia itakua na miaka around 6034-6044. Dunia itakua iko extra time kwa miaka 34-44 baada ya kumaliza miaka 6000 ya uwepo wake.
Katika kila kipindi cha dunia huwa kuna atleast mtu mmoja ambaye kwa neema ya Bwana Yesu, anakua anaijua injili ya kweli na jina lake linakua limeandikwa mbinguni. Na kabla mtu huyo hajafa huwa kuna mwingine anakua tayari ameshaonyeshwa au kufundishwa injili ya kweli na Mungu wa Israel mwenyewe. E.g. Kabla ya Enoch kufa Methuselah mtoto wake Enoch alishazaliwa na kuwa mkubwa na kuwa mtakatifu. Kabla ya Methuselah kufa, Noah (kitukuu au kilembwe cha Methuselah) alikua na zaidi ya miaka 500 (Noah alikua around miaka 600 wakati wa gharika ambapo Methuselah alikufa miezi michache kabla ya gharika). Na Noah alikua mtakatifu tayari. Kabla ya Noah kufa, Shem (mtoto wa Noah) alishakuwa mtakatifu. Kabla ya Shem kufa Abraham (more than kitukuu au kilembwe cha Shem) alishazaliwa na kuwa mkubwa na kuwa mtakatifu.
Tena baada ya Abraham kuingia Canaan ndio Shem anakufa. Hapo Abraham (kupitia Isaac na Jacob) ndio wanakua wahifadhi wakuu wa tumaini la injili kwa around miaka 2000. Hadi around 35 AD ambapo Wayahudi walimpiga mawe Stephen ambaye alikuwa mfuasi wa Yesu.
Hiyo ndio line halisi kabisa ya kiroho na kiimani ambayo inaendelea mpaka sasa. Na hata sasa kuna Wakristo ambao wameonyeshwa au kufundishwa imani ya kweli na majina yao yameandikwa mbinguni. Wakristo hao wanaweza kuwa wametoka mataifa mbali mbali.
Kwenye kitabu cha Daniel, Yule Mtu Aliekua amesimama juu ya maji mengi (huyu ni Bwana Yesu) Daniel 8:13, Aliitwa Palmoni maana yake ni Wonderful Numberer. Ukiona title kama Wonderful Counsellor, Wonderful Numberer, Revealer of Secrets ujue zina belong to the Godhead. Kwenye old tastement ukiona titles kama ‘The Word of God’, Michael the Archangel, au The Angel of the LORD (kwa mfano pale waisraeli walivyokua wanatoka Misri), ujue huyo ni Bwana Yesu kabla hajazaliwa duniani pale Bethlehem.
So unaona Abraham alivyo furahi na kustaajabu kupita kiasi alivyojua kwamba huyo anaeongea nae kwenye visions (The Word of YAHWEH) ndio huyo huyo atakuja duniani na kufa kwa ajili ya dhambi za ulimwengu na kufufuka na kurudi mbinguni kama mshindi. The Word of God ndio Kamanda mkuu wa majeshi yote ya malaika wa mbinguni. Nahisi hata Enoch alikua anajua kwamba Yesu atakuja duniani. So unaona the humility of Jesus (Yahushua) iliopelekea yeye kukaa kuume kwa Mungu Baba. The pride of Lucifer (Satan) ilipelekea yeye kufukuzwa mbinguni.
Kuja kwa Ukristo kwa mataifa yote including wabantu na waafrika weusi ilikuwa ni mkakati wa muda mrefu sana sana wa Mungu wa Israel, toka enzi za bustani ya Eden, na vile vile aliyaona haya kabla haja umba ulimwengu.
So wabantu na waafrika weusi wana historia ndefu sana. Na Bwana Yahushua Masiha anataka injili ya kweli iwafikie mataifa yote including wabantu na waafrika weusi.
Below ni baadhi ya quotations kutoka kwenye Biblia (Maandiko Matakatifu ya Adonai YAHWEH):
Genesis 2:2-3 ‘And on the seventh day God ended his work which he had made; and he rested on the seventh day from all his work which he had made. And God blessed the seventh day, and sanctified it: because that in it he had rested from all his work which God created and made.’
Exodus 20:8-11 ‘Remember the sabbath day, to keep it holy. Six days shalt thou labour, and do all thy work: But the seventh day is the sabbath of YAHWEH thy God: in it thou shalt not do any work, thou, nor thy son, nor thy daughter, thy manservant, nor thy maidservant, nor thy cattle, nor thy stranger that is within thy gates: For in six days YAHWEH made heaven and earth, the sea, and all that in them is, and rested the seventh day: wherefore YAHWEH blessed the sabbath day, and hallowed it.’
Isaiah 56:1-2 ‘Thus saith YAHWEH, Keep ye judgment, and do justice: for my salvation is near to come, and my righteousness to be revealed. Blessed is the man that doeth this, and the son of man that layeth hold on it; that keepeth the sabbath from polluting it, and keepeth his hand from doing any evil.’
Isaiah 66:22-23 ‘For as the new heavens and the new earth, which I will make, shall remain before me, saith YAHWEH, so shall your seed and your name remain. And it shall come to pass, that from one new moon to another, and from one sabbath to another, shall all flesh come to worship before me, saith YAHWEH.’
Mathew 12:8 'For the Son of man is Lord even of the sabbath day.'
Luke 23:56 ‘And they returned, and prepared spices and ointments; and rested the sabbath day according to the commandment.’
Revelation 1:10-11 ‘I was in the Spirit on the Lord's day, and heard behind me a great voice, as of a trumpet, Saying, I am Alpha and Omega, the first and the last: and, What thou seest, write in a book, and send it unto the seven churches which are in Asia; unto Ephesus, and unto Smyrna, and unto Pergamos, and unto Thyatira, and unto Sardis, and unto Philadelphia, and unto Laodicea.’
Revelation 14:12 ‘Here is the patience of the saints: here are they that keep the commandments of God, and the faith of Yahushua.’
NB: Siku ya saba, ambayo ni siku takatifu ya sabato (ambayo pia ni the Lord's day) ina anza jua likizama Ijumaa jioni na kuisha jua likizama Jumamosi jioni.
Asanteni, na samahani kwa kuandika makala ndefu.