Simulizi: Kisa na Mkasa wa Mauaji ya Jenerali Imran Kombe (Mkurugenzi Mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa-TISS)

Kama una soga zilete hapa basi
 
Badilisha picha kwanza ili tuamini story yako
 
Story nzuri, niko hapa kufuatilia.
Kombe aliegesha gari pembeni,akatoka nje mikono juu,wakammiminia risasi 15,kwa nini kwa mtu aliyejisalimisha!?..kwa nini risasi 15!?..kwa nini raia(dereva) alifia jela!?..polisi,wakiwemo makachero hawakumjua kombe mkurugenzi mkuu wa usalama wa taifa chini ya mwaka nyuma!?
 
kuna visa ambavyo natamani kuvijua kiundani ikiwemo hiki pamoja na ishu ya zangira yule aliyekamatwa kwa ishu za kijasusi miaka ya katikati ya 70. Hivi visa natamani nipate mtu anipe details za kutosha.
Ngumu kupata ,utapata juu juu tu
 
kuna visa ambavyo natamani kuvijua kiundani ikiwemo hiki pamoja na ishu ya zangira yule aliyekamatwa kwa ishu za kijasusi miaka ya katikati ya 70. Hivi visa natamani nipate mtu anipe details za kutosha.
Naam mzee wa Oleg thread kama hizi najua hukosiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…