Simulizi: Kisa na Mkasa wa Mauaji ya Jenerali Imran Kombe (Mkurugenzi Mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa-TISS)

Hivi unafikiri kina Lissu hawana watu wanaowapenda na wanaochukizwa na matendo ya Chama kiovu? Wapo.
Na wanawapa taarifa zote
 
Hivi unafikiri kina Lissu hawana watu wanaowapenda na wanaochukizwa na matendo ya Chama kiovu? Wapo.
Na wanawapa taarifa zote
Ila mie hili shambulizi la Lissu mpaka kesho sitaamini waliolifanya ni intelligencia ya serikali. wale watakua amateur killers tu au lissu anawafahamu ila hataki kusema ukweli kisa cha shambulizi.
Mossad wana rule moja, wakikutuma ukaue target halafu ukaikosa basi wewe ndio unauliwa na makachero wengi wa bongo walisomea Israel.Risasi 36 kweli??? hata mie niliepitia JKT nikipewa risasi 8 tu kati ya hizo 4 au 5 lazima nikusafirishe kuzimu.Kuna mengi nyuma ya pazia ya shambulizi la Lissu.Ila kwa serikali kufanya hivyo kwangu ni NEVER ON EARTH.
 
Je, una uhakika kwamba kabla ya kuandika comment yako hii ulijaribu kwanza kufanya utafiti wako wa kina kabisa kuhusu mkasa huo?
 
Ok
 
Sasa ni nani? Nani aliweza toa walinzi na kutoa ushahidi wa camera? Nani ananguvu ya kuzuia uchunguzi usifanyike hadi leo?

Tumjue huyo kwa uchunguuzi wala tusimshutumu mtu au serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…