The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Mzuka wanaJF
Kuna jamaa tulikutana naye kwenye mechi ya mpira ni mcameroun amekaa St. Petersburg toka 2005. Tumejenga urafiki na kunipa story za Urusi.
Ananisimulia St. Petersburg ukilinganisha na Copenhagen, Stockholm Oslo na Helsinki kwa pamoja haya majiji ni kama playing ground. Jiji ni kubwa na advance hadi Watalii wa Marekani Japan wa nashangaa.
Anasema kuna daraja flani yani hapo hapo treni magari metro zinapita lakini linafunguliwa jioni hili meli zipite. Basi Watalii kutoka mataifa tofauti tofauti wanasimama na kupiga picha kwa mshangao na kusema this is Russia.
Jamaa Anasema kila mtaa kuna mkuu wa polisi anaitwa Sheskova kama sheriff Marekani wanakula rushwa balaa. Yeye alianzishaga Car wash Sheskova akamuendea na kumuambia kila mwezi anamlipa kama dola 300 na kumbuka hapo pia kodi analipa.
Pia kuna vikundi vya mafia nao walimfuata na awe anawalipa kama dola 300 ukibadilisha kutoka Russian Ruble kwa iyo kwenye iyo biashara yake inabidi alipe Sheskova 300 na mafia 300 kwa jumla 600 na aliajiri wamatumbi wenzake wawili.
Anasema biashara yake ilichanganya sana hadi kwa mwezi hasa wakati wa winter anaingiza kama 5000 us dollar.
Kuna siku alichelewa kumlipa huyu mafia walimzingira akirudi kwake na kumpiga sana.
Anasema Watanzania ni wengi sana St Petersburg na labda wapo humu JF labda mnaweza kujua huyu mwamba.
Simulizi ilyonivutia zaidi nipomuuliza vipi watoto. Akaniambia kuna utitiri wa watoto wakali wamezagaa scattered ni kasema tu huko ni pakutembelewa.
Pia Anasema kuna mtanzania kaanzisha restaurants anaingiza hela kichiz.
Kuhusu Miundo mbinu Urusi inaongoza vibaya na kwa mbali. Barabara Pana na nzuri
CC britanicca