SIMULIZI: Mkufu wa Malkia wa Goshen

Nimekuta tu screen ina scratch scratch mara paaaah!!! Kimyaaaaa!;
Shunie nibonyeze kitufe gani ili movie iendeleee?
 
Shukrani sana shunie mola akupe afya njema uje na kitu kipya siku za usoni
Santeeee nimeenjoy kwa kweli. Be blessed
Shunie ahsante sanaaaaaaaa
hakika tumetendewa haki ktk simulizi hii,ubarikiwe Mamie
Bibie shukurani nyingi kwako mpera mpera kama huu ndio watakiwa.
oooh! Shunie thanks a lot dear, hadithi ilnoga mno be blessed kwa kutokuwa mchoyo.
Umetisha sana
Bibie Shunie...shukrani....tafadhali fanya mchakato wa burudani nyingine.
Hongera shunie
Shunie umemaliza mama.Umekuwa muaminifu kuleta story mpaka mwisho .Hongera sana na asante.
Hapana ndio inaanza!!

Shunie ahsante sana, tulikua pamoja kutoka mwanzo hadi tamati!!
Hongera Dada,,let's kingine kama kipo
[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Jaman umeongea mpaka nimejisikia vibaya unarudi wapi tena Harald
Kwenye upweke tena nikuzoea shunie hapa palikuwa kama nyumbani nilifanya hii story kuwa kama mtu wangu wa karibu yaan kama mama au mke wa kunifariji so narudi tena kwenye upweke na msongo wa mawazo rudi tena shunie! Rudi mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…