SIMULIZI: Mkufu wa Malkia wa Goshen


Malkia Sandarus kafa kizembe sana...

Kuponyeka kote huko na misuko suko kaja kuliwa kirahisi hivyo...


Cc: mahondaw
 

Rhoda tamaa zimemponza sana... kwa wazee wa baraza anataka... kwa malkia anataka... ngoja wakambake...

Cc: mahondaw
 
Wadau kuna simulizi moja Kali sana sijui mods wataweza kuiedit maana ina xx kidogo
 

Rhoda she is a very clever b.itch... kila kitu kwake maslahi mbele kwanza...

Kweli wanawake wana nguvu... hadi shetani Venin anataka kuhonga kisa mwanamke...


Cc: mahondaw
 
Dah hivi nikisafiri kuja kwa Prime Minister (PM) ninaweza kufika na kupokelewa? Maana nahisi ulinzi ni mkali.

(Nadhani umeniekewa)
Sasa ata nikikuruhusu ukuje usafiri mm mtetemo sina kabisa ni kibonge mweusi nyuma nimepigwa pasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…