SIMULIZI: Mkufu wa Malkia wa Goshen

Hapo sasa umeeleweka vizuri...

Pussy ukimaanisha paka...


Cc: mahondaw
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Naona Tattiana anaandaliwa na mama yake ili aende kupigwa mkuyati na mfalme Phares...

Rhoda atakuja chinja mtu, juhudi zote hizo anazozionesha kutafuta mkufu ili hatimae aje kua na mfalme Phares pamoja alafu Tattiana aingie kiulani tuu...


Cc: mahondaw
 

Roboth jamaa yake Tattiana ni mzembe sana... siku zote hizo za uchumba na Tattiana kumbe hakuwahi kumla... mpaka Tattiana anakuja kutolewa Bikra na mfalme Phares.

Mflame Phares kua baridi baada ya kumla Tattiana utakua mkono wa Roboth kwa sababu aliapa hakubali kuchukuliwa demu wake...


Cc: mahondaw
 

Safi sana kwa Seth...


Cc: mahondaw
 

Inasikitisha sana...

Kuani- Raam dume zima linataka kupumiliwa na Oragon... aibu sana... bora Ottoman na Oragon wlivyokimbia...

Mfalme Phares ana bahati mbaya sana... Rhoda ndiyo huyo keshachukuliwa na Venim shetani... Tattiana ndiyo huyo nae anataka kuchukiliwa na mfalme mwingine...


Cc: mahondaw
 
Hadithi imefanikiwa sana mkuu Shunie, pungufu moja tu imeshindwa kutuambia namna jayet alivyoingia makubaliano na kumtuma pahares hadi kuwa mtawala bila kugundulika.
 
Hadithi imefanikiwa sana mkuu Shunie, pungufu moja tu imeshindwa kutuambia namna jayet alivyoingia makubaliano na kumtuma pahares hadi kuwa mtawala bila kugundulika.
Jamani mkuu hadithi imeshaisha jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…