Shunie mwenyewe mlozi
Hahahahaha sie hatupo
Cc :Shunie njoo uone
Shunie upo wapi uone tuhuma hizi.
[emoji2] [emoji12] [emoji1] shunie gagula[emoji15] [emoji15] [emoji15]
ameshawahi kukuroga?
mkuu usimind hizo emoj zaonyesha kwamba ni utani tuu.kingine kiasili mimi na shunie ni watani yeye mtu wa tanga mimi kilimanjaro.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mfyuuuu zako na ndio tunapoelekea mchangieAkija hapa atakwambia kuna maisha zaidi ya Jf pole kwa alosto Malkia sandarus asaidie tu shunie asije kusema tuanze kichangia
Ni mimi tutaonana mida yetu badae
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni kweli muya huwa tunaruka wote
Welcome my queen SandarusSi ndio leo koncho
Shunie shikamooAsante mtu kibonge
Mahaba ndo niniMahabaa
Mbona kidogoNi marahaba huo ugali kwa avatar unaumaliza