Hao ni my peepsKujishaua tu
Eti ukiwataja wanakupaga nini eti nikujishaua tuHao ni my peeps
Haha kuna mmoja ananipa utamu, hao wengine ni kuficha asijulikan ni naniEti ukiwataja wanakupaga nini eti nikujishaua tu
niko nae hapa tunaangalia mpiraJbourne yupp wapi?
Natumaini siku ukirudi hapa itakuwa Mpaka mwisho wa simulizi.......kila la kheri huko ulipo na yote uyafanyayo.Nimeingia Dar leo kutoka Dom kwa dharura, lakini kesho tena nitarudi Dom
ili iwaje sasa yaniNimeingia Dar leo kutoka Dom kwa dharura, lakini kesho tena nitarudi Dom