Simulizi:The President and I(Mimi Na Rais)

Hii game inachezwa kwa akili sana Macha nizaidi ya kiungo kafanya jambo la kushangaza ila la akili sana.
 
Kichwa cha habari chenyewe hakiko vizuri; "The president and I" badala ya "I" ingekuwa "Me", na ingekuwa na maana ya "Rais na mimi".

Kwanza Kajifunze matumizi ya objective na subjective pronouns katika sentensi.
Duh! Yani unakosoa alafu wewe nd hujui kitu....

Rudi kasome kozi ya kingereza,....... Wewe nd wale watu wanasema...... If i was you!
 
Hiyo yote ni kumvuruga kabisa rais Costa.
Akifika kwa mwanadiplomasia costa atashangaa majibu atakayoyapata.
Khaaaa nmeshtuka kama nini, maanake nini basi jamani
 
Duh! Yani unakosoa alafu wewe nd hujui kitu....

Rudi kasome kozi ya kingereza,....... Wewe nd wale watu wanasema...... If i was you!


Wenzako wote waliokuwa wabishi kama wewe sasa wako kimya,sasa umekuja wewe bila kufanya utafiti kwanza juu ya "English grammar in the case" unakurupukaa tu.

Nimeeleza vya kutosha juu ya mada hii katika post kadhaa zilizofuatia kwa kuokoa muda soma post ya mwisho iliyokata mzizi wa fitina. sina hakika kama hiyo "hadithi" ni copyright ya kitabu kilicho andikwa na mwandishi huyo, Deborah kalb. A Freelance writer.

"Basi soma post no 425" ili ujifunze au pia umkosoe huyo Muamerika.😁😁😁
 
Huyu macha vipi tena jaman

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchaga yupi hana akili.!?? Nakuhakikishia ukienda mbinguni unakuta viduka vya kina mangi pembeni...
Mzee baba hata Kama Ni kutetea hishima za wengine, lakini wewe umezidi!!!

Maneno yako si sahihi mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…