Simulizi:The President and I(Mimi Na Rais)

Amesema itakuwa kwa mfumo Wa hard copy softy copy haina faida
asingeleta basi@!
kwani humu wanaosoma wanafika elf ngapi?
Wenzie wanaleta na wanamaliza riwaya humu na vitabu vinauzika...maana humu wasomaji ni wachache sana ..
Asilete humu kujaza sever bure...atoe huko mitaani anotaka atanunua lakini si kufanya hivi..sio ustaarabu!

Si yeye tu na wengine wote wenye ila kama yeye!
 
Well say, ni heri angeiuza tu kwa mfumo wa soft copy mana sometime hard copy sehemu nyingine huwezi pata zinakuwa chache
 
Well say, ni heri angeiuza tu kwa mfumo wa soft copy mana sometime hard copy sehemu nyingine huwezi pata zinakuwa chache
Aliyekuwa anaieleta humu si yeye mwandishi lakini
 
Povu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Uchaaguzz 2020 ukiisha na story hii humu JF inaisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…