Simulizi ya kipelelezi: Idaiwe maiti yangu

Hii kitu imenilevya kama teja na unga.. Heshima kwako bro kwa kigongo havi
 
Kwa wale ambao walikuwa wanaulizia Pm kuhusu mkeka wa simulizi zangu zote za kijasusi na bei zake πŸ‘‡
 
UJASUSI, UPELELEZI NA MAPIGANO

1. ULIMWENGU WA WATU WABAYA...4500
2. I WANT TO DIE JUDGE...4500
3. GEREZA LA HAZWA...5000
4. INNOCENT KILLER (THE REVENGE)/ MUUAJI ASIYE NA HATIA (KISASI)...5000
5. NYARAKA NAMBA 72/ DOCUMENT NUMBER 72...4500
6. ELECTION SAGA MONEY IN BLOOD (SAKATA LA UCHAGUZI PESA KWENYE DAMU)...4000
7. JIJI LA KAMARI...4000
8. BADO NINAISHI (ASHRAFU NDILO JINA LANGU)...4500
9. NAFSI ZILIZO TELEKEZWA ...5000
10. IDAIWE MAITI YANGU...4500
11. THE ODYSSEY OF GAVIN LUCA (SEASON 2 YA IDAIWE MAITI YANGU)...5000
12. JUMBA JEUSI...4500
13. SIKU ZA MWISHO - GIZA LA MALAIKA (SEHEMU YA MWISHO YA IDAIWE MAITI YANGU)...6000

NB
SIMULIZI ZOTE HAPO ZINA PUNGUZO KWA SIKU YA LEO TU KWA AJILI YA SIKUKUU YA EID....

UNAPATA PUNGUZO LA 25%-30% na jinsi unavyo nunua nyingi zaidi ndivyo PUNGUZO linazidi kuwa kubwa ZAIDI....

EID MUBARAK ❀️
 
Kwa wale ambao mnasomea Fasihinet kwa coin link yenu hii hapa πŸ‘‡


Kule unaweza kusoma simulizi zangu bila shida, wewe angalia tu title hapo Kisha kaitafute kule.... Ukipitia changamoto yoyote nijulishe.....

Kuhusu hiyo SAFARI YA GAVIN LUCA (THE ODYSSEY OF GAVIN LUCA) tayari nimeiweka yote mpaka mwisho kabisa kule Fasihinet hivyo unaweza kujua hatima ya maisha ya hiyo familia kwa baadae ilikuaje.....

Kumbuka hiyo ni season 2 au sehemu ya pili ya IDAIWE MAITI YANGU hivyo hatujamalizana na hiyo familia bado ✍️
 
Umetuvunjia heshima kwa kutupekq hadi sehemu kukosa muendelezo wa Jabari na Lee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…