TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Habari wadau..!
Katika hiki kisa cha muuaji wa salenda kuna kisa kingine kilichojificha kuna jamaa anaadithia .
Moja kati ya watu waliofariki kwenye lile shambulizi yupo jamaa mmoja ambaye ni mlinzi ninavyosikia kwa story za mtaani.
Jamaa alitoka kufiwa mwaka huu misiba miwili mmoja wa baba yake mzazi na mwingine wa mke wake.
Jamaa baada ya kumaliza msiba wa mwisho wa mke wake hana hata wiki baada ya kurudi kazini kimemkuta kisa kingine cha kupigwa risasi na hatimaye amepoteza maisha hivyo kufanya familia yake kupoteza ndugu watatu ndani ya mwaka mmoja.
Inasikitisha sana kwa mlinzi huyu,pole nyingi ziiendee familia yake.🙏🙏🙏