TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Kinasikitishaπ€Wala hakisisimui bali kinasikitisha.
Kisa cha kusisimua ni chenye furaha ama chenye huzuni mwanzoni lakini mwishoni huishia na furaha na siyo majonzi.
Kuna wanaoutamani ugaidi hadi wanaamua kuwapachika watu ugaidiKuna wale wanatetea magaidi hawajui madhara yao
RubbishTuwaachie polisi wafanye kazi yao..labda gaidi ana mahusiano na yule mwendandani?
Napiga picha jinsi wapendwa wake wanavopia wakati mgumu sasa hivi. Nakumbuka nilivyopoteza maza na mshua na tlibaki yatima. Ukiwa kwenye haya mazingira hapo ndipo faraja ya mbinguni na duniani inahitajika kwa sanaa.Habari wadau..!
Katika hiki kisa cha muuaji wa salenda kuna kisa kingine kilichojificha kuna jamaa anaadithia .
Moja kati ya watu waliofariki kwenye lile shambulizi yupo jamaa mmoja ambaye ni mlinzi ninavyosikia kwa story za mtaani.
Jamaa alitoka kufiwa mwaka huu misiba miwili mmoja wa baba yake mzazi na mwingine wa mke wake.
Jamaa baada ya kumaliza msiba wa mwisho wa mke wake hana hata wiki baada ya kurudi kazini kimemkuta kisa kingine cha kupigwa risasi na atimaye amepiteza maisha hivyo kufanya familia yake kupoteza ndugu watatu ndani ya mwaka mmoja.
Inasikitisha sana kwa mlinzi huyu,pole nyingi ziiendee familia yake.πππ
Gaidi yupi unaemsemea wewe...acha kuota kumekuchaKuna wale wanatetea magaidi hawajui madhara yao
Naogopa kuitwa interrogation roomπππJapo unayo mengi ila umeandika kidogo sana.
Ongezea
Mkuu nikushindwa kuelewa maana ya maneno ya Kiswahili au tatizo ni nini? Kilichokusisimua Katika hili andiko lako no kipi haswa?Habari wadau..!
Katika hiki kisa cha muuaji wa salenda kuna kisa kingine kilichojificha kuna jamaa anaadithia .
Moja kati ya watu waliofariki kwenye lile shambulizi yupo jamaa mmoja ambaye ni mlinzi ninavyosikia kwa story za mtaani.
Jamaa alitoka kufiwa mwaka huu misiba miwili mmoja wa baba yake mzazi na mwingine wa mke wake.
Jamaa baada ya kumaliza msiba wa mwisho wa mke wake hana hata wiki baada ya kurudi kazini kimemkuta kisa kingine cha kupigwa risasi na hatimaye amepiteza maisha hivyo kufanya familia yake kupoteza ndugu watatu ndani ya mwaka mmoja.
Inasikitisha sana kwa mlinzi huyu,pole nyingi ziiendee familia yake.πππ
Habari wadau..!
Katika hiki kisa cha muuaji wa salenda kuna kisa kingine kilichojificha kuna jamaa anaadithia .
Moja kati ya watu waliofariki kwenye lile shambulizi yupo jamaa mmoja ambaye ni mlinzi ninavyosikia kwa story za mtaani.
Jamaa alitoka kufiwa mwaka huu misiba miwili mmoja wa baba yake mzazi na mwingine wa mke wake.
Jamaa baada ya kumaliza msiba wa mwisho wa mke wake hana hata wiki baada ya kurudi kazini kimemkuta kisa kingine cha kupigwa risasi na hatimaye amepiteza maisha hivyo kufanya familia yake kupoteza ndugu watatu ndani ya mwaka mmoja.
Inasikitisha sana kwa mlinzi huyu,pole nyingi ziiendee familia yake.[emoji120][emoji120][emoji120]
π π πNikajua uzi una taarifa za maana kumbe furushi la kinyesi tu
Sidhani! Nahisi ana mahusiano na mwendazake!Tuwaachie polisi wafanye kazi yao..labda gaidi ana mahusiano na yule mwendandani?
Kuna wale wanatetea magaidi hawajui madhara yao