Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
EXACTLY NI MMOJA WAO. WEWE AMBAYE ULIKUWA UNAKAA UNASINZIA SIJAONA AMBACHO UMEFANIKIWA. MIMI NIMEANZA BIASHARA ZAMANI SANA MPAKA NIPO HAPA. SABABU NILIKUWA NA AKILI. WEWE UMEOLEWA MAPEMA SABABU HUKUWA NA CHA KUFANYA. MIMI NIMECHELEWA KUOA ILI KWANZA NIJIPANGE MKE NA WATOTO WANGU WASIJE PATA SHIDA.Haikatazwi ila waliokuwa wanatoroka shuleni na kwenda kuuza maji ya barafu ndio huandika hivyo.
Bila shaka u miongoni mwao ππ
Nimeitaja sababu mkuu mambo yanaweza kuwa si mamboKwa nini mkuu?
Sawa mkuu nimekuelewaNimeitaja sababu mkuu mambo yanaweza kuwa si mambo
Akili iliyo nayo ni ya kike kike, mwanaume mwenye akili hawezi kuwaza na kuenenda katika mfumo wa kuwa kuolewa.EXACTLY NI MMOJA WAO. WEWE AMBAYE ULIKUWA UNAKAA UNASINZIA SIJAONA AMBACHO UMEFANIKIWA. MIMI NIMEANZA BIASHARA ZAMANI SANA MPAKA NIPO HAPA. SABABU NILIKUWA NA AKILI. WEWE UMEOLEWA MAPEMA SABABU HUKUWA NA CHA KUFANYA. MIMI NIMECHELEWA KUOA ILI KWANZA NIJIPANGE MKE NA WATOTO WANGU WASIJE PATA SHIDA.
Tetea tu mumeoAkili iliyo nayo ni ya kike kike, mwanaume mwenye akili hawezi kuwaza na kuenenda katika mfumo wa kuwa kuolewa.
Bila chenga wewe ni LGBT nguli.
Nilibatizwa huko, lakini hawakuzungumzia lolote kuhusu hili Jina...ngoja nianze uchunguzi wa kimya kimya.Halafu hilo jina la kinyatuzu Jitwangabalogi lina maana gani kwa kiswahili?
Usitafute wazibua mitaro hapa we πTetea tu mumeo
Unatetea mumeoUsitafute wazibua mitaro hapa we π
Hivi bwashee una umri gani?KWANI INAKATAZWA KUANDIKA KWA HERUFI KUBWA?
mkuuNaweza kukupatia ikiwa huna undugu na David.
Ukikua utaacha utotoUnatetea mumeo
Unasemaje mkuu?mkuu
Bado una ndoto ya kuolewa? Kazi ipo!Bado sijaolewa na sitashiriki tena sex kabla ya ndoa.
Umri wake unamruhusu hajakata tamaaBado una ndoto ya kuolewa? Kazi ipo!
KAMA WA BABA YAKO TUHivi bwashee una umri gani?
UNAMTETEA MUMEOUkikua utaacha utoto
Baba yako ndiyo nani bwashee?KAMA WA BABA YAKO TU
Yap namtetea mumeoUNAMTETEA MUMEO
UNAMTETEA MUMEO.Yap namtetea mumeo