Simulizi yangu ya kwenda kwa waganga wa kienyeji sehemu mbalimbali nchini na nje ya nchi

Kwenda kwa mganga Ni shirki na Ni dhambi kwa Mwenyezi Mungu tubu kabla ufe maana hutosamehewa
 
Utopolo kala mbili zake swaaaafiii kabisa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Saafi kabisa yaani. Ila nimeipenda maneno aliyotoa kocha wao mbirundi. Kakubali kuwa hakuna wa kulaumiwa Ile mechi maana walizidiwa kipindi cha kwanza na dakika 15 za mwisho wa mchezo.
Simba wako Hetelini saizi wanareview game ya utopolo huku wakicheeeka🤓
 
Mikia fc mna tabu sana
 
Aaah wapi mimi huyu huyu[emoji28][emoji28][emoji28]
We piga tena tufanye yetu,maisha yenyewe mafupi haya,mara pap nikufe na sukari yangu ikaliwe na nyeyere si bora nikuonjeshe tu[emoji1787][emoji1787]
Mwenye ndo nikashangaa, nikajiuliza sasa huyu kitu kapewa bure na Muumbaji, kwann tunafanyiana ivo?

Mwisho wa siku urudi mavumbin, malaika wa mahusiano akuulize, mbona Chako hujakishughulisha na tulikupa bure??

Embu tufanye yetu banaa Maya Angelou [emoji8]
 
Duh
 
Hukuja TANGA hata siku moja kuona utaalam wa huku?
 
dhambi zipo nyingi kuzini,kutembea na mke wa mtu,kuiba mali za umma,kupokea rushwa nk.
najua wewe ni mtakatifu hujawahi kufanya dhambi.
 
Twende kazi, millions 8 zilipoteaje mkuu😁😁
 
Kwenda kwa mganga Ni shirki na Ni dhambi kwa Mwenyezi Mungu tubu kabla ufe maana hutosamehewa
Wewe unapozini unafikiri utasamehewa? Mtoa mada endelea kwenda kwa waganga hawa vijana wa dot com hawajui chochote wana kazi ya kufuata mkumbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…