Simulizi za the Bold

Wii tuogope nn ili hali hatudaiwi bwana
Huyo kakaako hakuna kitu katuaibisha wa Kaskazini anajificha kama anadaiwa na bodi ya mikopo bwana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uwiiiiiii nimechekaaaaaa
Isijekuwa maana walisema wataweka na picha zao full isijekuwa ile namba aliisajili kwa jina halisi alilotumia chuo...lol
 
Ki ukwel the bold nakukubali, ila tumepishana tu kwenye group LA was up, humo ndani ni balaa, tafuta nna ambayo wengine utakuwa unawatumia pm moja kwa moja....

Kulipia si shida ila kwenye group ndo shida mkuu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…