Simulizi za waungwana: Aliyekubeba ndo anayejua uzito wako

Simulizi za waungwana: Aliyekubeba ndo anayejua uzito wako

waungwanaTz

Member
Joined
Aug 6, 2024
Posts
11
Reaction score
9
UZITO

Licha ya changamoto zilizowakabili,
wazazi wa Chuwa walifanya kila wawezalo ili kesho ya chuwa si tu iwe kesho nzuri bali kesho yenye fursa angavu na furaha ya kudumu.
Miaka kadhaa mbele juhudi zao zikazaa matunda.
Chuwa akahitimu masomo na kupata kazi nzuri.
Baada ya kupata kazi,Chuwa alitamani
kufanya mengi na Katika kufanya mengi hayo Chuwa alikosa kipimo.
Mengi yakazaa mengine na mengine yakazaa mengi.
Mwisho wa siku,
mengi na mengine mengi yakamfanya asahau wazazi wake.
Siku moja........


lengo la simulizi hii ni kumtaka kila muungwana kufanya yafuatayo:
1.Kutambua na kukumbuka mchango wa wote waliomfanya afike alipofika.
2.kutoa ufafanuzi wa misemo iliyotumika katika simulizi hii.
3.Kuvaa viatu vya mzee Haji na kumpatia Chuwa ushauri.
 
Back
Top Bottom