Simulizi za waungwana: Kwa asiyejua kusoma,nukta kwake haina maana

Simulizi za waungwana: Kwa asiyejua kusoma,nukta kwake haina maana

waungwanaTz

Member
Joined
Aug 6, 2024
Posts
11
Reaction score
9
Nukta.
Licha ya kuonywa mara kadhaa,
Chuwa hakuwa msikivu.
Aliendelea na tabia zake, japo alifahamu kuwa tabia hizo zinamuumiza sana mkewe.
Siku moja,Chuwa alifanya yake tena.
Aliporudi nyumbani,mkewe hakumsemesha.
Alimuandalia chakula kisha akaondoka zake.
Wakati mkewe anaondoka,macho ya Chuwa yakavutwa na maneno yaliyoandikwa kwenye kanga ya mkewe.Maneno hayo yalisomeka hivii
“ Kheri ya ujane mwema kuliko ndoa mbaya”
Maneno hayo yalimfanya chuwa akose amani,hakuweza tena kula wala kulala.
Alikesha akiwaza nia ya mkewe.
Kadri alivyozidi kuwaza ndivyo alizidi.......
Tuendelee.....





 
Back
Top Bottom