Simulizi za waungwana: Si kila asemaye asante basi katendewa wema

Simulizi za waungwana: Si kila asemaye asante basi katendewa wema

waungwanaTz

Member
Joined
Aug 6, 2024
Posts
11
Reaction score
9
ASANTE
Baada ya kugundua mumewe anamsaliti, mke wa chuwa alimtazama mumewe usoni.

Akamsogelea karibu zaidi, akambusu shavuni, kisha akamwambia
“Asante sana mume wangu”

Tofauti na busu la mkewe, ambalo lilimkumbisha Chuwa busu la Yuda kwa Yesu.

Asante ya mkewe,ilimweka Chuwa njia panda kwani,Chuwa hakujua asante ile ina maana gani.

Chuwa akazidi kujiuliza maana ya asante ile
ila...




lengo la simulizi hii ni kumtaka kila muungwana kufanya yafuatayo:
1. Kutueleza neno " asante" kwake linamaana gani.
2. Kutueleza mambo aliyowahi kufanya au kufanyiwa,yaliyosababisha aambiwe " asante" au kusema "asante" kwa aliyofanyiwa.
3. Kuelezea misemo iliyotumika katika simulizi hii.
4. Kuvaa viatu vya mzee Haji na kumpatia Chuwa ushauri.
 
Back
Top Bottom