Simulizi: Zawadi - Sehemu ya 1-7

Of course Messi is a football genius of this time. Ila kwa ujumla napenda sana soka!

Basi inabidi siku umtafute kumpa sifa zake!!!
Hahahah..bolded sorry I can't share your enthusiasm...though nlikua napenda kucheza zamani kidogo!!
 
Too long to read wengi tunapita tuu
 
haya kua makini na maedita wa kibongo watachakachua ukiwa mzembe
 
Letaraha dadaa letarahaaaa!!! oooh nitamu hahadithi yetu jamani fanya upunguze uvivu uwe unaileta mapema.
 
Watunz wengi sio wazuri kwenye fasihi kiasi kwamba hadith zinachosha..ila we upo juu kwenye fasihi
 
Letaraha dadaa letarahaaaa!!! oooh nitamu hahadithi yetu jamani fanya upunguze uvivu uwe unaileta mapema.

Jamani wewe....tatizo sio uvivu bana.Shughuli zinazidi kwahiyo wakati mwingine inabidi ZAWADI apumzike kidogo wakati na mie nashughulika.
Watunz wengi sio wazuri kwenye fasihi kiasi kwamba hadith zinachosha..ila we upo juu kwenye fasihi

Asante sana!!
 
Jamani mm mwisho wa hii hadithi sioni,cjui kwa 7bu cm kmeo!!!?
 
Mami Lizzy vip mzima lakini fanya mambo utupe raha kila nikipita nakuta Zawadi bado hajajua ukweli hebu kazabuti najua upo bz lakini na huku unahitajika. pia fanya maujanja fulani hapo wasikopi siunajua mami kina shigongo kwa kuchakachua wasije tuchakachulia tukamkuta zawadi kabadili jina kawa monika luwinski tukaanza loloma jamani huyu si zawadi mweeeeeee.
W love you sote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…