Simulizi: Zawadi - Sehemu ya 1-7

Enyi mafisadi wa muda wa serikali kazi mnafanya saa ngapi! imagine umemaliza kusoma long story like dat!
 
Herhehehe...asante Ntinginya ntafuatilia hiyo ishu!!
Kuhusu kuandika sasa hivi nimebanwa aisee...naandika mambo ya lazima mpaka maneno yameniishia.

Enyi mafisadi wa muda wa serikali kazi mnafanya saa ngapi! imagine umemaliza kusoma long story like dat!

Kwahiyo muda wako wewe ni mali ya serikali??
 
jamani hakuna software ya kubadilisha haya maneno yaingie kwenye sauti niyasikilize?!maana kusema eti nitaisoma yote na macho yenyewe haya itakuwa uongo!msaada please!
 
jamani hakuna software ya kubadilisha haya maneno yaingie kwenye sauti niyasikilize?!maana kusema eti nitaisoma yote na macho yenyewe haya itakuwa uongo!msaada please!

Macho yana nini tena Zamaulid? Nunua miwani bana. . .
Au nianzishe service ya kuwasomea watu kupitia skype conference call. . . dakika moja mnalipia sh.100.loz
 


kisukari Yericko Nyerere Jestina Ngwanakilala Avemaria Masanilo Matola First Born Shantel One and Only Change_it Tonny Elia Rejao Ninaweza Maketa Che Kalizozele ibraton lutamyo samito mbongopopo vngenge Blaki Womani LOOOK lodikasaji zamboni ndyoko Mamaya mtoto wa mfugaj BlackBerry MwanajamiiOne King'asti klorokwini Dio Al-Mende Gagurito Tusker Bariiiidi @Pasco VoiceOfReason @Kanigini kasopa WomanOfSubstance FirstLady1 divalicious bryleen Kweli Husninyo Bayo Matope MESTOD na wengine woe ambao mlikuwa mnampenda ZAWADI na kutamani kujua muendelezo wake nimeshaikamilisha na tayari kitabu kinapatikana AMAZON kwa mfumo wa e-Book.

Hivo naombeni support yenu kwa mara nyingine tena kwa kununua copy ya kitabu cha ZAWADI na kushare habari hii na marafiki zenu ili nao waweze kujipatia copy a ZAWADI. Bei ni $6.78 tu.


Amazon product ASIN B06XSHGH94
 
Hongera sana Lizzy,

ila Jamiiforums umepotea,

rudi bana au una ID nyingine?lol
 
Story tamu sana hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…