Simuoni Pochetino akiwamudu Messi, Mbape na Neymar

denooJ

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2020
Posts
18,509
Reaction score
68,228
Kulingana na hali inavyolekea Messi kukaribia kutua PSG, na kutokana na uwepo wa mastaa kibao pale PSG, napata mashaka na Mauricio Pochettino kama ataweza kuwa manage wale mastaa na hatimaye PSG kubeba taji la ligi ya mabingwa.

Namuona mtu kama Zidane akiwafaa zaidi PSG kuwaunganisha wale mastaa na kuwapa mafanikio waliyoyatafuta kwa muda mrefu hasa kwenye ligi ya mabingwa ulaya, kama PSG itaharibu mechi chache za ligi kuu Ufaransa inayotarajiwa kuanza hivi karibuni, basi naamini Zidane akae mkao wa kula hasa wakati huu asio na timu ya kufundisha.
 
Ligue1 ishaanza tangu juzi, round 1 inaisha leo.

Mechi ya kwanza PSG kashajibebea point zake 3.

Mechi hiyo hakuwepo Neymar, Ramos. Ngoja tuone mechi ijayo hali itakuwaje endapo Messi akifanikiwa kutua hapo Paris
 
Sema messi itapendeza akitua EPL aje tu hata kwa vibonde Arsenal. [emoji23][emoji23]
Ila boss kubwa wa Chelsea Roman anataka mkutano na watu wa la pulga
 
Hilo kombe PSG kushindwa kulichukua ni uzembe wao tu, wao wanalitaka zaidi la ulaya.
 
Sema messi itapendeza akitua EPL aje tu hata kwa vibonde Arsenal. [emoji23][emoji23]
Ila boss kubwa wa Chelsea Roman anataka mkutano na watu wa la pulga
Hawa wanakaribia kumchukua Lukaku kwa £95.7m, sidhani kama wataweza kumchukua na Messi japo ataenda bure, ila signing fees yake nashahara vitaigharimu klabu na FFP rules zitawabana.
 
Waarabu wanamleta Guardiola pale,amini usiamini...
Unaweza kuwa msimu wa mwisho wa Guardiola Man City kama atabeba kombe la ulaya, nadhani ndio kazi aliyoibakiza.
 
Hawa wanakaribia kumchukua Lukaku kwa £95.7m, sidhani kama wataweza kumchukua na Messi japo ataenda bure, ila signing fees yake nashahara vitaigharimu klabu na FFP rules zitawabana.
Chelsea uwezo wanao mzee baba

Mmiliki wa Chelsea Roman Abramovich ameomba ''mkutano wa dharura'' na wawakilishi wa Messi baada ya kutangazwa kuwa hatasalia Barcelona. (AS in Spanish)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona PSG wameshapeleka offer kwa Messi, jamaa ndio anaitazama kwa "makini"
 
Kila mtu anapeleka offer yake hujasikia kuna mapendekezo mawili mengine yamemfikia
 
Poch ni bonge la kocha, zizzo hana lolote alitembelea nyota za wenzake. Wote 3 wanataka wacheze 90 minutes kama main striker au font man. Mgogoro ni nani wawili watakubali kucheza nyuma mwenzake. Binafsi mbape akae mbele Messi na ney wakae nyuma, sasa shida Messi na ney umri umeenda hawawezi kimbia kimbia nyingi wanachoka haraka
 
Nadhani Messi na Neymar watatokea pembeni waingie ndani.
 
Back
Top Bottom