Sema messi itapendeza akitua EPL aje tu hata kwa vibonde Arsenal. [emoji23][emoji23]Kulingana na hali inavyolekea Messi kukaribia kutua PSG, na kutokana na uwepo wa mastaa kibao pale PSG, napata mashaka na Mauricio Pochettino kama ataweza kuwa manage wale mastaa na hatimaye PSG kubeba taji la ligi ya mabingwa.
Namuona mtu kama Zidane akiwafaa zaidi PSG kuwaunganisha wale mastaa na kuwapa mafanikio waliyoyatafuta kwa muda mrefu hasa kwenye ligi ya mabingwa ulaya, kama PSG itaharibu mechi chache za ligi kuu Ufaransa inayotarajiwa kuanza hivi karibuni, basi naamini Zidane akae mkao wa kula hasa wakati huu asio na timu ya kufundisha.
Hilo kombe PSG kushindwa kulichukua ni uzembe wao tu, wao wanalitaka zaidi la ulaya.Ligue1 ishaanza tangu juzi, round 1 inaisha leo.
Mechi ya kwanza PSG kashajibebea point zake 3.
Mechi hiyo hakuwepo Neymar, Ramos. Ngoja tuone mechi ijayo hali itakuwaje endapo Messi akifanikiwa kutua hapo Paris
Hawa wanakaribia kumchukua Lukaku kwa £95.7m, sidhani kama wataweza kumchukua na Messi japo ataenda bure, ila signing fees yake nashahara vitaigharimu klabu na FFP rules zitawabana.Sema messi itapendeza akitua EPL aje tu hata kwa vibonde Arsenal. [emoji23][emoji23]
Ila boss kubwa wa Chelsea Roman anataka mkutano na watu wa la pulga
Chelsea uwezo wanao mzee babaHawa wanakaribia kumchukua Lukaku kwa £95.7m, sidhani kama wataweza kumchukua na Messi japo ataenda bure, ila signing fees yake nashahara vitaigharimu klabu na FFP rules zitawabana.
Naona PSG wameshapeleka offer kwa Messi, jamaa ndio anaitazama kwa "makini"Chelsea uwezo wanao mzee baba
Mmiliki wa Chelsea Roman Abramovich ameomba ''mkutano wa dharura'' na wawakilishi wa Messi baada ya kutangazwa kuwa hatasalia Barcelona. (AS in Spanish)
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mtu anapeleka offer yake hujasikia kuna mapendekezo mawili mengine yamemfikiaNaona PSG wameshapeleka offer kwa Messi, jamaa ndio anaitazama kwa "makini"
Nadhani Messi na Neymar watatokea pembeni waingie ndani.Poch ni bonge la kocha, zizzo hana lolote alitembelea nyota za wenzake. Wote 3 wanataka wacheze 90 minutes kama main striker au font man. Mgogoro ni nani wawili watakubali kucheza nyuma mwenzake. Binafsi mbape akae mbele Messi na ney wakae nyuma, sasa shida Messi na ney umri umeenda hawawezi kimbia kimbia nyingi wanachoka haraka