Simuulizi/documentari nzima ya kusisimua kwenye harakati za kuzima moto mlima Kilimanjaro na nilivyoshuhudia kifo mbele yangu lakini nikapona

Jesuitdon

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2018
Posts
3,153
Reaction score
2,673
#SEHEMU YA KWANZA Naleta full documentary nilivyo husika kwenye janga la moto mlima kilimanjaro

Kwanza Mimi nilishapitia mafunzo magumu ya jeshi 843Kj nadhani hii pia ilichangia kuepuka kifo.

Stori inaanza asubuhi 13/10/2020 nilivyofika Marangu mtoni sehemu yenye pilika pilika nyingi na lango nzuri la kuingilia mlimani kilimanjaro..

NAANZA NA PICHA ZA SATELAITI NA ZA KAWAIDA

MARANGU MJINI MAARUFU KAMA MARANGU MTONI

Hapa nilivyofika point ya kwanza nikaanza kuanza safari yamiguu tofauti na wengi waliochukua TAX nikiwa nimekunywa chai na mikate tuu ya asubuhi
Hali ilikuwa tete maana kuna milima na muinuko tuuu
hivyo nilipanda na mguu kilometa za kutosha.
1.Marangu mtoni hadi KINAPA(KILIMANJARO NATIONAL PARK)
Ambazo ni kama kilometer 3 na ni milima na miinuko tu.
2. Marangu mtoni hadi mandara hut,hapo pana umbali wa kilometer 2 na ni urefu wa usawa wa bahari ni futi 8999 zinazoweza kabisa kuondoa pumzi ya mwanadamu na kumsababishia magonjwa ya ki mwinuko nitayaelezea mbeleni.
japo kuna eneo dogo tulipata msaada wagari



3.Mandara hut hadi eneo la tukio pana umbali wa kilometa 4 kasoro maana baadae tulienda horombo maana moto ulituzunguka.



maeneo ambayo tulibakiza kama tungefika ingekuwa n rekodi mpya ya one day climbing na one day coming down,back.
ni..............KIBO
..............Gillman's ni kaeneo ka barafu ambayo ingechukua saa mbili kufika
mwisho....Uhuru peak.



Cha ajabu ni kushuka na mguu hadi getini kama kilomita 7 kwa miguu tena.
ukijumlisha na ya marangu mtoni kwenye kupanda na kushuka ni kilometa 18.nilitembea kwa miguu nikiwa sijala chochote zaidi ya kunywa maji yenye baridi ya -4hai-7.














MARANGU HOSPITALI















HOTELI YA CAPRICORN NA NAKARA









COFEE TOUR










KINAPA(KILIMANJARO NATIONAL PARK) GETINI









MANDARA HUTS









MOUNDY CRATER MAARUFU KAMA MAUNDI CRATER




















KILOMETRE CHACHE JUU YA MANDARA NDO KUNAMOTO





HAPA NDO KUMEPAMBA NA KUNAMOTO MKALI ZAIDI ILA UTAKUWA UMEPUNGUA SANA.

KATI YA HOROMBO NA MANDARA

























































INAENDELEA HIYO NI HIGHLIGHT
MSIWE NA PRESHA UVUMILIVU NITAIFANYIA MODIFICATION UTAKUWA UZI WA MWAKA...THREAD OF THE YEAR
NITAENDELEA LEO NIMEPATA TATIZO KIDOGO NA PC IKO CHARGE.

KEEP IN TOUCH
 

Attachments

  • Screenshot_20201015-194650.png.png
    217.1 KB · Views: 5
  • Screenshot_20201015-194821.png.png
    174.1 KB · Views: 5
Stori inaanza asubuhi 13/4/2020 nilivyofika Marangu mtoni sehemu yenye pilika pilika nyingi na lango nzuri la kuingilia mlimani kilimanjaro..
moto umeanza kuwaka October, au hiyo tarehe ni moto mwingine ?¿
 
Aisee ,au
Inaota usiku wa manane eti!
Mimi bahàti mbaya nimelala Lodge nimeamshwa na kelele za chumba cha tatu ...ngoja habari niipeke jukwaa husika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…