Simuungi mkono Malinzi lakini sijaona wa kumng'oa

kiamangwana

Senior Member
Joined
Feb 28, 2015
Posts
175
Reaction score
89
Nakumbuka miaka ya nyuma mchambuzi mmoja wa soka alikuwa maarufu sana kupitia DTV chanel ten kama sijakosea,alikua anaitwa LIKY ABDALA,kutokana na yule bwana kuonekana kila siku ya mechi kubwa akifanya uchambuzi basi baadhi ya wa TZ wakapendekeza agombee u katibu mkuu wa FAT enzi hizo kwani waliamini kwa jins anavyochambua basi moja kwa moja anafaa kuwa kiongozi,wakasahau kuwa kuwa mchambuzi tu hakufanyi uwe bora,,nimetoa mfano huu nikiangalia hiki kinacho endelea sasa,eti kwa kuwa tu ALLY MAYAYI anaonekana kila siku akifanya uchambuzi wa soka kupitia AZAM TV basi huyu anafaa,zaidi ya hapo watasema eti alicheza mpira,hivi tunataka viongozi wa kutupeleka WC au tunataka viongozi wa simba na yanga?simuungi mkono malinzi lakini sijaona wa kumng'oa au mwingine labda huyo mgombea aitwaye twaku kuru,,,yangu macho.
 
Ndolanga hakuwahi kucheza mpira tuliona madudu yake fat

Rage hakuwahi kucheza mpira tuliona madudu yake fat

Malinzi hivyo hivyo wote tumeshuhudia

Tenga beki wa zamani wa yanga na Stars tumeona jitihada zake mpaka caf walitaka wampe kijiti kakataa

Mayai hawezi kutuangusha sababu sio power monger kama hao wanasiasa wanaotaka ubunge nk power mongers ,wapo kwa maslahi yao ndondi wapo ,sijui taasisi gani wapo nk nk

Mayai atafanya vzr kuliko hata Tenga
 
Rage alipiga boli mkuu.
 
Ally Mayay Tembele ni binadamu aliyebarikiwa kipaji cha Uongozi. Ondoa hayo mambo ya Uchambuzi au alikuwa mchezaji wa Yanga na Stars. Kipaji chake cha Uongozi mfuwatilie kwenye Shule na Vyuo alivyosoma utaona bila shaka wanafunzi wenzake watakavyomzungumzia. NA upande mwengine Ally Mayay aliwahi kuwa Nahodha wa Yanga na Stars kwa vipindi fulani jaribu kuwauliza wachezaji wenzake alikuwa anawaongoza kwenye Dressing Room watakwambia sifa zake.
 
Huoni Wa kumuondoa?!!!! Mboni ameshaondolewa na takukuru
 
Nakumbuka miaka ya nyuma mchambuzi mmoja wa soka alikuwa maarufu sana kupitia DTV chanel ten kama sijakosea,alikua anaitwa LIKY ABDALA,kutokana na yule bwana kuonekana kila siku ya mechi kubwa akifanya uchambuzi basi baadhi ya wa TZ wakapendekeza agombee u katibu mkuu wa FAT enzi hizo kwani waliamini kwa jins anavyochambua basi moja kwa moja anafaa kuwa kiongozi,wakasahau kuwa kuwa mchambuzi tu hakufanyi uwe bora,,nimetoa mfano huu nikiangalia hiki kinacho endelea sasa,eti kwa kuwa tu ALLY MAYAYI anaonekana kila siku akifanya uchambuzi wa soka kupitia AZAM TV basi huyu anafaa,zaidi ya hapo watasema eti alicheza mpira,hivi tunataka viongozi wa kutupeleka WC au tunataka viongozi wa simba na yanga?simuungi mkono malinzi lakini sijaona wa kumng'oa au mwingine labda huyo mgombea aitwaye twaku kuru,,,yangu macho.
Kwan mali ya nzi kashatoka rumande au ana sifa tena ya kgombea
 
Ndolanga hakuwahi kucheza mpira tuliona madudu yake fat

Rage hakuwahi kucheza mpira tuliona madudu yake fat

Malinzi hivyo hivyo wote tumeshuhudia

Tenga beki wa zamani wa yanga na Stars tumeona jitihada zake mpaka caf walitaka wampe kijiti kakataa

Mayai hawezi kutuangusha sababu sio power monger kama hao wanasiasa wanaotaka ubunge nk power mongers ,wapo kwa maslahi yao ndondi wapo ,sijui taasisi gani wapo nk nk

Mayai atafanya vzr kuliko hata Tenga
Tenga angeshindwaje angali timu ilikuwa ya JK? Kipindi chake stars ilikuwa ni Timu ya serikali
 
Nakumbuka miaka ya nyuma mchambuzi mmoja wa soka alikuwa maarufu sana kupitia DTV chanel ten kama sijakosea,alikua anaitwa LIKY ABDALA,kutokana na yule bwana kuonekana kila siku ya mechi kubwa akifanya uchambuzi basi baadhi ya wa TZ wakapendekeza agombee u katibu mkuu wa FAT enzi hizo kwani waliamini kwa jins anavyochambua basi moja kwa moja anafaa kuwa kiongozi,wakasahau kuwa kuwa mchambuzi tu hakufanyi uwe bora,,nimetoa mfano huu nikiangalia hiki kinacho endelea sasa,eti kwa kuwa tu ALLY MAYAYI anaonekana kila siku akifanya uchambuzi wa soka kupitia AZAM TV basi huyu anafaa,zaidi ya hapo watasema eti alicheza mpira,hivi tunataka viongozi wa kutupeleka WC au tunataka viongozi wa simba na yanga?simuungi mkono malinzi lakini sijaona wa kumng'oa au mwingine labda huyo mgombea aitwaye twaku kuru,,,yangu macho.
Pole sana Ndugu Yangu siku nyingine ujipange na unacho kisema sio unajiaminisha hata kwa MTU asieaminika
 
Back
Top Bottom