Chukua big like mkuuAsipopiga shoo unapungukiwa chakula mezani kwako?
Kabla mondi hajawa msanii alikua anatengeneza wapi bifu ili apate kiki....ile ndio life style yake kitambo tuKiba bila iki haendi.....
Mpaka atengeneze bifu na Mondi ndio apate kiki.
Soon atatengeneza bifu atarudi kwenye mstari tu
tatizo hamtaki kiba aambie ukweli.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asipopiga shoo unapungukiwa chakula mezani kwako?
Afadhali aisee.... Maana hajielewi kabisaVipi hujui kama kafunga ....... ratiba hii hapa.
1. Chanika 7/7/2016.
2.Nairobi Kenya. 10/7/2016
3.Gongo la mboto. 14/7/2016.
4.Ukonga. 21/7/2016.
5.Kigamboni. 28/7/2016.
6.Tegeta. 5/8/2016.
7.Geita. 13/8/2016.
8.Tunduru. 20/8/2016.
9.Kisarawe. 26/8/2016.
10.Mkuranga. 4/9/2016.
11.Lindi mjini.11/9/2016.
For more info mcheki meneja wake, booking now kama mji wako haupo kwenye list.
We ndo hujielewi, limekushuka shuuu[emoji57] [emoji57] [emoji57]Afadhali aisee.... Maana hajielewi kabisa
Hahahaahaaa
Kweli kiba msanii mdogo,ukonga kuna ukumbi gani wa kujaza washabiki wakeVipi hujui kama kafunga ....... ratiba hii hapa.
1. Chanika 7/7/2016.
2.Nairobi Kenya. 10/7/2016
3.Gongo la mboto. 14/7/2016.
4.Ukonga. 21/7/2016.
5.Kigamboni. 28/7/2016.
6.Tegeta. 5/8/2016.
7.Geita. 13/8/2016.
8.Tunduru. 20/8/2016.
9.Kisarawe. 26/8/2016.
10.Mkuranga. 4/9/2016.
11.Lindi mjini.11/9/2016.
For more info mcheki meneja wake, booking now kama mji wako haupo kwenye list.