Simwelewi ana maana gani?

Gilo nashukuru kwa kulikemea,nshaachana na hayo mawazo
hilo pepo lako lnakupeleka pabaya,kwa ajili ya records kosa la ubakaj ktk serikali ya JMT NI kifungo kisichopungua miaka 30,try 2 rethink
 
mie hii roho ya kinyama ya kubaka,ndio imenishangaza.....
hata humu kwa greti thinka kuna watu cold namna hii...???
mtu ambaye unampenda utafikiria kumbaka tena na mwenzio...????
mama yako au dada yako ukisikia amebakwa utafurahi?????
humpendi achana naye...no finger fu cking no what......
may be kashawajua hamumpendi ndio maana mnaishia kunawa tu kula hamli....kha!
 
Jama mbona mnanshambulia hivo,im regret nisameheni si mnajua nlishindwa kumwelewa nikaona ka ndo suluhisho?nashukuruni kwa ushauri na critics zenu
 

hizi kashfa zaashiria huzitaki hizo mbichi huku ukijua ya kuwa zimewiva
 


Mtafanya jambo la maana kwani mtalipwa kwa maradhi. Mara Kadampo, mara kumwambia ukweli, mara twena nyote wawili mnaendelea, mbona mtafaruku tu?
 

hahaha hujui kuna wakubwa makuzi
 
give me a shor break.... be back soon
 
Upuuzi mwingine bana. . .
Mna miaka mingapi we na huyo mbakaji mwenzio?
 
hahahahaha! hamjajua dem ndio mjanja maneno yote yanawatoka na kupanga ufedhuri kisa hawajapata wanachokitaka shauri yenu mtaishia kunyea debe mwacheni na maisha yake tafuteni dem mwingine aliyetayari
 

daaaah... me swali langu ni moja bhana hivi ni kweli unampenda huyo binti au ume mtamani tuu
 

k, inanuka ndo maana anabana, anaona aibu.
 
mmepima vvu au unaingia kichwa kichwa acheni uaasherati mtaangamia kwani ni dhambi.

waasherati kamwe hawataurithi ufalme wa Mungu
 

Very well said elmagnifico!!

yawezekana huyo dada ana matatizo lakini wewe lasway una makubwa zaidi!
 
Huyo Binti wewe HUMPENDI KABISA

Ni Tamaa tu ya ngono imekutawala

Sasa kambake akuachie ka ugonjwa ketu ndipo utajua

Unasema utatumia zana wakati michubuko ya kwenye vidole vyako hujaiangalia????

Jifunze MATUMIZ SAHIHI ya Condoms ili uwe salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…