Simwelewi kabisa huyu mpwa wangu

hehehe kamanda humpandishi mtu punda (ref: ile sredi yako mi ID mingi) lol, mjaribu fellow tablet
Ahsante dawa ya malaria kwa kujali maslahi ya dawa ya kutuliza maumivu............hope queenkami atakuelewa na King'asti hatasoma hii posti.

Khaa! Comrade unachunguza mpaka uvunguni mwa vitanda vya kwenye martenity ward?.......... Nadhani umemwona Preta kwenye list ya mafriends wangu, naye amekiri anayazimia mabusha....... Ngoja nimPM.
 
Aisee hii name calling ya shem wangu unaifanyaje kwenye hii sredi ya mabusha. Shem wangu alinambiaga ana aleji na mabusha........... Sasa hebu idiliti hii posri kabla hajapita hapa kuisoma...........BTW, woga umeuanza lini ilhali ushakuwa mkubwa?
 
dah....pole sana mpwa....ni kwamba sijathibitisha sana lakini eti wanasemaga kuna kina mama wanayapenda....mi sijui lakini.....labda mkewe ana lolote la kusema?
We huyapendi??
 
Unajua ukichunguza kiundani kabisa utagundua kwamba hii JF nzima mimi peke yangu ndio nina akili timamu. msibishe
Atakayebisha atakuwa hajui ki-Kiranga..... Manake inaeleweka kabisa.

WARNING: if you are too serious you better avoid me cuz I always define life as a joke.


Ila usisahau:

:hand::hand::hand:........."Hodi" ya chooni haiitikiwi "karibu"................
:israel::israel::israel:

Bisha!
 

Hahahahaha Hodi ya chooni inajibiwa kwa mguno mmmmmmh
 

Comrade nisaidie kumwelewesha 'fellow tablet' bana....haiwezekani mimi niewe queenkami
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…