Hapana asee mi hata ushabiki wa mpira simo kabisaaMkuu siyo vitu vigumu sema ni bahati hamna ujuzi
ONE DAY YES LAKINI USIJALIMkuu no way
Mkuu hizo odds ni kwamba,matokeo yawe namba shufwa au witiri(odd/even).Alafu odds zilikuwa pana aisee
Pole sana Chief
Thanks mkuu,nimerevange ila si haba 1000 yangu imerudiView attachment 818425
Mkuu hizo odds ni kwamba,matokeo yawe namba shufwa au witiri(odd/even).
Kwenye mechi nzima unatabiri itaishi kwa namba witiri(odd) kama 1,3,5,7..
Na kwa namba shufwa (even),0,2,4,6,8..
Iwe matokeo ya timu zote mbili au moja ukijumlisha ziwe witiri kama ulibet witiri,ziwe even numbers kama ulibet even iwe ukijumlisha magoli ya pande zote mbili au upande mmoja kama mwingine haujafunga goli
Mil 1.kabaki nayo mzungu.bado namtafutaMkuu siyo vitu vigumu sema ni bahati hamna ujuzi
Mkuu hongera!juzi nimekosa mil 4 kwa timu mbili kuniangusha,nitakuwekea mkeka.Mil 1.kabaki nayo mzungu.bado namtafutaView attachment 818430View attachment 818432
Mkuu mi huwa na guess kwamba hamna anayetaka atoke draw,hata kama hawajafungana dk zinaisha we unawaza goli moja matokeo yawe oddInaonekana ina unafuu kiasi maana hapo ulikuwa umemkimbiza aiseee
Japo tunasema hamna option rahisi kwenye betting
Ile ya mwanzo ilikua na odds ngapi jumla?Yeah zero zero wanachukulia ni even number mkeka unakuwa umechanika.
Umeona huo nilioweka sasa hivi 1000 nimepata 14,000 kwa timu 4.
Damn! Iko siku.367 ila niliweka 1000