Sina bando linakaribia kuisha

Wewe kama mwanaume huo.muda wa kuchunguza hayo mambo unatoa wapi😹😹😹
 
Pole
 
Wewe kama mwanaume huo.muda wa kuchunguza hayo mambo unatoa wapi😹😹😹
Mungu mwenyewe anakuchunguza hata kabla hujavua ile kutamani ushazini uoni ni nature.
 
Hakuna haja ya kukimbia, n kupunguza shobo na kujitia umuhimu kwenye maisha ya wengine
 
Pole sana, wengine ego zetu ni mbaraka mkubwa, once ignored hata mara moja tu, tunaishia hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…