Sina confidence katika Mahusiano

sina confidence katika mahusiano tangu my first lover alipoamua kuoa.na sasa imefika muda muafaka nahitaji kuwa serious ila najihisi hata mahusiano niliyonayo siyo imara

Funga kufuli kabisa nyuchi mchumba akijitokeza usivue mpaka ajitambulishe kisha mwende kanisani
 
Funga kufuli kabisa nyuchi mchumba akijitokeza usivue mpaka ajitambulishe kisha mwende kanisani

Duh!, yaani kitu ichukuliwe bila ile kanuni ya "shake Before Use"?, nadhani ni ngumu kwa karne hii hata kwa hao wa makanisa wanajiita upako na kiroho
 
pole mamkindi ila kutokujiamini just because ulitendwa is not good. try to forget the past because by doing so you are setting yourself free. jiachie na uenjoy maisha mama.wewe ni wa thamani sana na the reason Muumba aliruhusu hayo yatokee ni kwasababu there is someone better for you so fungua moyo wako....
 
Last edited by a moderator:
Mtu anayetakiwa kukujengea confidence ni mpenzi wako..anatakiwa akupende,akujali ,akuheshimu na kukuthamini to the extent ya wewe kujivunia kuwa nae..ukiona huna confidence ujue hajatimiza wajibu wake inavyotakiwa..
Vunja ukimya zungumza na mwenzako
 
Jamani!!! Always naambiwa kuna wanaume weengiii walotulia na kinacho itajika ni subira tu bt kila nikiingia JF matatizo yaleyale. Does it mean waoaji waamifu hawapo tena. My God.

jf wapo waaminifu,mtafute mtu anaitwa ndyoko.
 
Jamani!!! Always naambiwa kuna wanaume weengiii walotulia na kinacho itajika ni subira tu bt kila nikiingia JF matatizo yaleyale. Does it mean waoaji waamifu hawapo tena. My God.
Tupo wengi tu, pia nasi twajiuliza maswali kama yenu!
 

Ushauri mwanana sana huu. Nimeupenda
 
kwani ukipata kazi mara ya kwanza alafu ukafukuzwa hiyo kazi haimaanishi kua hutataka kufanya kazi tena...utajifunza kutokana na experience ya hiyo kazi utatafuta kazi nyingine na kazi ya pili utajitahidi ufanye vizuri zaidi ya ile ya kwanza ili badala ya kufukuzwa ndio upandishwe na cheo..relationship ni hivo hivo its part of a learning curve...
 
People change. feeling change.
It doesn't mean that the love once shared wasn't true and real.
It simply just means that sometimes when people grow, they grow apart
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…