Huu mwandiko siyo wa mtu wa darasa la nne! Hii ni ☕ ya tangawizi.Mambo! hope you good
Sina furaha na maisha yangu kabisa nimekuwa mtu mwenye mawazo mengi sana kuna time natamani hata nisiwepo duniani niendee kukaa mbali kabisa
Majukumu niliyonayo, (ninayopewa ni mazito kuliko umri wangu nimeanza kutafuta katika umri mdogo sana namshukuru mungu nimelelewa na wazazi wote wawili tena mjini kabisa dar es salaam
Lakini maisha niliyolelewa mungu ndo anajua hakuna kitu kinaniumiza kama wazazi wangu kushindwa kunisomesha roho inaniuma sana wallah kuna muda nawachukia kwa sababu hiyo hata wanapota shida siwezi kunisaidia kwa sababu wameniharibia maisha yangu
Sistahili kuwasaidia kwa sababu walishindwa kunisaidia kufikia malengo yangu, walishindwa kunisomesha na uwezekano wa kunisomesha ulikuwepo kwa asilimia 100 kwa sababu familia ya mama yangu ni watu maarufu sana kwenye mji huu wa Dar es Salaam
Marehemu babu yangu kwa mama yangu alishawahi kumuita Baba yangu ili anipeleke shule kwa kauli alikuwa na uwezo wa kunipeleke shule yoyote lakini haikuwa hivyo baba yake alikaidi wito wa marehemu babu
Roho inaniuma sana sijasoma nimeishia darasa la nne tu siwezi kuandika vizuri nikipewa kalamu naandika vibaya nimekuwa sijiamini kabisa na sina furaha na maisha kwa sababu hiyo sina elimu najiona mjinga sana hakuna ninayoitunza kama hii ya watu kujua mimi nimeishia darasa la nne, sitaki bimadamu yoyote aijue hii siri zaidi ya wazazi wangu ambao wao ndo sababu ya kutokunipambania mimi kijana wao nikasoma
Wazazi wangu hawakunipambania kabisa zaidi ya kunilea tu wamenifanya niishi maisha magumu sana wamenifanya dunia niione chungu mno sina furaha na dunia hii, laiti ningesoma ningekuwa mbali sana napata opportunity nyingi sana lakini na fail kwa sababu kichwani hakuna shule hata kidogo, nimekonda sana kwa sababu ya mawazo hayo sijawahi kuwa na furaha kabisa sina marafiki maisha yangu yanaenda ukingoni
Jisalimishe kwa Yesu Kristo hutojutia Kamwe.Mambo! hope you good

Asante KakaSahau kabisa kuhusu hizo mambo familia imekufanyia
kubali changamoto na uanze kukabiliana nayo rasmi
Chance Yako ya kufanikiwa ni kubwa sana asee na inaonesha uwezo wako ni mkubwa kama umeishia la nne na unaijua JF na unaweza kuandika kama hivi
Jiamini mzee
Mawazo ya hovyo sana hayaSikia nikwambie kitu, stop complaining about others failed to help you. Once you are a man everything is your fault. Wazazi wako wameshindwa kukusonesha, it's your fault. You don't have money, it's your fault. Don't have a job, it's your fault. Your girlfriend is cheating, it's your fault. Even when it raining hard outside, it's your fault. Take responsibility, stop complaining. The universe didn't bring anyone to help you, neither your parents. Strike. Grind. Fight. Help yourself to survive alone! Naturally Kazi ya wazazi ni kukuzaa tu how you survive is none of their business huwa wanafanya tu kwa upendo. So I dare you to stop complaining and take responsibility/action. Take to think if parents weren't there what would you do? Do it now!
Wala huna haja ya kulalamika au kulaumu au kukosa raha, katika haya maisha kila mmoja ana jakajaka lake...hakuna alieachwa salama na mitihani ya dunia...hata kama ungesoma basi Mungu Angekupa mtihani mwengine...Mambo! hope you good
Sina furaha na maisha yangu kabisa nimekuwa mtu mwenye mawazo mengi sana kuna time natamani hata nisiwepo duniani niendee kukaa mbali kabisa
Majukumu niliyonayo, (ninayopewa ni mazito kuliko umri wangu nimeanza kutafuta katika umri mdogo sana namshukuru mungu nimelelewa na wazazi wote wawili tena mjini kabisa dar es salaam
Lakini maisha niliyolelewa mungu ndo anajua hakuna kitu kinaniumiza kama wazazi wangu kushindwa kunisomesha roho inaniuma sana wallah kuna muda nawachukia kwa sababu hiyo hata wanapota shida siwezi kunisaidia kwa sababu wameniharibia maisha yangu
Sistahili kuwasaidia kwa sababu walishindwa kunisaidia kufikia malengo yangu, walishindwa kunisomesha na uwezekano wa kunisomesha ulikuwepo kwa asilimia 100 kwa sababu familia ya mama yangu ni watu maarufu sana kwenye mji huu wa Dar es Salaam
Marehemu babu yangu kwa mama yangu alishawahi kumuita Baba yangu ili anipeleke shule kwa kauli alikuwa na uwezo wa kunipeleke shule yoyote lakini haikuwa hivyo baba yake alikaidi wito wa marehemu babu
Roho inaniuma sana sijasoma nimeishia darasa la nne tu siwezi kuandika vizuri nikipewa kalamu naandika vibaya nimekuwa sijiamini kabisa na sina furaha na maisha kwa sababu hiyo sina elimu najiona mjinga sana hakuna ninayoitunza kama hii ya watu kujua mimi nimeishia darasa la nne, sitaki bimadamu yoyote aijue hii siri zaidi ya wazazi wangu ambao wao ndo sababu ya kutokunipambania mimi kijana wao nikasoma
Wazazi wangu hawakunipambania kabisa zaidi ya kunilea tu wamenifanya niishi maisha magumu sana wamenifanya dunia niione chungu mno sina furaha na dunia hii, laiti ningesoma ningekuwa mbali sana napata opportunity nyingi sana lakini na fail kwa sababu kichwani hakuna shule hata kidogo, nimekonda sana kwa sababu ya mawazo hayo sijawahi kuwa na furaha kabisa sina marafiki maisha yangu yanaenda ukingoni
Sikia mzee acha kuleta masihara kwenye maisha ya watu, hujui mwenzio anapitia hali ganiSumu ya panya hazidi shilingi mia tano,fanya maamuzi sasa,usikae kinyonge
Hivi vitabu mnavyosoma Sasa 😂 😂 😂 Sasa mvua kubwa inanyesha kosa langu tena? Kwanini mtu ndio ana control mvua 😂 😂 😂 huyu atasema kuumwa ni kosa lako, kufa ni kosa lako😂😂😂Sikia nikwambie kitu, stop complaining about others failed to help you. Once you are a man everything is your fault. Wazazi wako wameshindwa kukusonesha, it's your fault. You don't have money, it's your fault. Don't have a job, it's your fault. Your girlfriend is cheating, it's your fault. Even when it raining hard outside, it's your fault. Take responsibility, stop complaining. The universe didn't bring anyone to help you, neither your parents. Strike. Grind. Fight. Help yourself to survive alone! Naturally Kazi ya wazazi ni kukuzaa tu how you survive is none of their business huwa wanafanya tu kwa upendo. So I dare you to stop complaining and take responsibility/action. Take to think if parents weren't there what would you do? Do it now!
Aisee wtfSumu ya panya hazidi shilingi mia tano,fanya maamuzi sasa,usikae kinyonge
Read carefully and think. Haimanishi ni kosa lako actually but you have to be responsible. Mtu ambae hakubali kwamba this is my fault he can't fix something akisubiri mtu mwenye kosa aje afix. Lakini whenever you feel anything related to you is wrong because of you will take responsibility. Uliteleza au Do We have to doubt about your IQ?Hivi vitabu mnavyosoma Sasa 😂 😂 😂 Sasa mvua kubwa inanyesha kosa langu tena? Kwanini mtu ndio ana control mvua 😂 😂 😂 huyu atasema kuumwa ni kosa lako, kufa ni kosa lako😂😂😂
Anything wrong with kizungu, madam?Heh, mbona kizungu kingi!? Ndio atafahamu?
Oh sorry, if you did understand. You just can translate for him!Sasa mkuu,ndugu kasema kaishia darasa la nne,wewe unamshauri kwa kiingereza
Ingawa ushauri wako ni mzuri sana kwake
ukisema wazazi hawakukupambania kabisa unakosea sana. wewe nawe pambania watoto wako basi kama unafikiri ni rahisi. wazazi wako wangekuwa na nia mbaya na wewe wangekutoa mimba, wangekuweka msukule watajirike au wangefanya chochote. acha ujinga, tafuta kazi yeyote fanya, mwombe Mungu akubariki kwenye kazi hiyo, kulialia hakutakusaidia kitu chochote. ati umeishia la nne na huwezi kuandika wakati umeandika bonge la essey kwenye jamiiforums, unamdanganya nani?Mambo! hope you good
Sina furaha na maisha yangu kabisa nimekuwa mtu mwenye mawazo mengi sana kuna time natamani hata nisiwepo duniani niendee kukaa mbali kabisa
Majukumu niliyonayo, (ninayopewa ni mazito kuliko umri wangu nimeanza kutafuta katika umri mdogo sana namshukuru mungu nimelelewa na wazazi wote wawili tena mjini kabisa dar es salaam
Lakini maisha niliyolelewa mungu ndo anajua hakuna kitu kinaniumiza kama wazazi wangu kushindwa kunisomesha roho inaniuma sana wallah kuna muda nawachukia kwa sababu hiyo hata wanapota shida siwezi kunisaidia kwa sababu wameniharibia maisha yangu
Sistahili kuwasaidia kwa sababu walishindwa kunisaidia kufikia malengo yangu, walishindwa kunisomesha na uwezekano wa kunisomesha ulikuwepo kwa asilimia 100 kwa sababu familia ya mama yangu ni watu maarufu sana kwenye mji huu wa Dar es Salaam
Marehemu babu yangu kwa mama yangu alishawahi kumuita Baba yangu ili anipeleke shule kwa kauli alikuwa na uwezo wa kunipeleke shule yoyote lakini haikuwa hivyo baba yake alikaidi wito wa marehemu babu
Roho inaniuma sana sijasoma nimeishia darasa la nne tu siwezi kuandika vizuri nikipewa kalamu naandika vibaya nimekuwa sijiamini kabisa na sina furaha na maisha kwa sababu hiyo sina elimu najiona mjinga sana hakuna ninayoitunza kama hii ya watu kujua mimi nimeishia darasa la nne, sitaki bimadamu yoyote aijue hii siri zaidi ya wazazi wangu ambao wao ndo sababu ya kutokunipambania mimi kijana wao nikasoma
Wazazi wangu hawakunipambania kabisa zaidi ya kunilea tu wamenifanya niishi maisha magumu sana wamenifanya dunia niione chungu mno sina furaha na dunia hii, laiti ningesoma ningekuwa mbali sana napata opportunity nyingi sana lakini na fail kwa sababu kichwani hakuna shule hata kidogo, nimekonda sana kwa sababu ya mawazo hayo sijawahi kuwa na furaha kabisa sina marafiki maisha yangu yanaenda ukingoni
Expert wangu,mtu anakwambia kaishia darasa la nne,halafu unamwandikia kwa kizigua,je atakuelewa?Sikia nikwambie kitu, stop complaining about others failed to help you. Once you are a man everything is your fault. Wazazi wako wameshindwa kukusonesha, it's your fault. You don't have money, it's your fault. Don't have a job, it's your fault. Your girlfriend is cheating, it's your fault. Even when it raining hard outside, it's your fault. Take responsibility, stop complaining. The universe didn't bring anyone to help you, neither your parents. Strike. Grind. Fight. Help yourself to survive alone! Naturally Kazi ya wazazi ni kukuzaa tu how you survive is none of their business huwa wanafanya tu kwa upendo. So I dare you to stop complaining and take responsibility/action. Take to think if parents weren't there what would you do? Do it now!