SINA HAKIKA ILA NADHANI HILI NI AJABU LA NANE DUNIANI

Wale wanaorekodi maajabu ya dunia please naomba msiliache hili jamani eti kocha unaacha kwenda iringa na timu yako kupambania ushindi unabaki dar kusubiri simba afungwe.Matokeo yake mtaka vyote kwa pupa hukosa vyote.PUMBAF SANA ZAHERA uzi tayari.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uzi tayari boss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale wanaorekodi maajabu ya dunia please naomba msiliache hili jamani eti kocha unaacha kwenda iringa na timu yako kupambania ushindi unabaki dar kusubiri simba afungwe.Matokeo yake mtaka vyote kwa pupa hukosa vyote.PUMBAF SANA ZAHERA uzi tayari.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na Yanga wako hoe hae Zahera anawachangia hawawezi kumfanya chochote na ubingwa wa TPL ndo basi tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Goli la pili la SIMBA lililofungwa na CHAMA unalizungumziaje Mwalimu kashasha?
" Hili goli linaitwa pendulum ball insector with round bottom flask passing hii hupigwa mara chache sana Kwa mara ya mwisho ilipigwa na adolf hitler mnamo 1939 "
 
mkuu hiyo combination ya pendulum na round bottomed flask imeniacha hoi kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyu zahera inabidi uhamiaji wamuwajibishe haiwezekani afanye uzalendo kwa wacongo wenzie kwenye ardhi yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanaongea kishabiki tu lakini Zahera amepewa kibali cha kazi (work permit) cha kufanya kazi Yanga na siyo permit ya kufanya kazi YANGA & AS VITA, however kawaponza mbinu alizowapa ndo zile zile ziliwauwa wao Yanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Goli la pili la SIMBA lililofungwa na CHAMA unalizungumziaje Mwalimu kashasha?
" Hili goli linaitwa pendulum ball insector with round bottom flask passing hii hupigwa mara chache sana Kwa mara ya mwisho ilipigwa na adolf hitler mnamo 1939 "
😀😀😀
 
Haaaaa As Vita vilaza Sana aise, wamekubali mbinu za Zahera wakati Yanga alifungwa na Simba!!
Wale wanaorekodi maajabu ya dunia please naomba msiliache hili jamani eti kocha unaacha kwenda iringa na timu yako kupambania ushindi unabaki dar kusubiri simba afungwe.Matokeo yake mtaka vyote kwa pupa hukosa vyote.PUMBAF SANA ZAHERA uzi tayari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
madai ya Vita walikuwa na mtu wao wa kuwaandalia njia na atawasaidia kuepukana na hila ka zingekuwepo, but yote kwa yote Tanzania imesimama panapopaswa ila uzalendo ni Muhimu sana mie nilijiuliza wale walokuwa wanashangilia ni wakongo ama watanzania? nyakati nyingine UHAMIAJI wawe wanaenda sehemu ka zile wanaweza pata wahamiaji haramu kirahisi sana yani wakongo wote wale waloshangilia goli la kwanza kweli wanavibali vya kukaa hapa nchiniiii 😕😕😕😕😕😀😀😀😀 naamini imeeleleka katika uzalendo
 
Back
Top Bottom