loosimingori
JF-Expert Member
- Oct 30, 2017
- 920
- 1,145
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uzi tayari bossWale wanaorekodi maajabu ya dunia please naomba msiliache hili jamani eti kocha unaacha kwenda iringa na timu yako kupambania ushindi unabaki dar kusubiri simba afungwe.Matokeo yake mtaka vyote kwa pupa hukosa vyote.PUMBAF SANA ZAHERA uzi tayari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na Yanga wako hoe hae Zahera anawachangia hawawezi kumfanya chochote na ubingwa wa TPL ndo basi tenaWale wanaorekodi maajabu ya dunia please naomba msiliache hili jamani eti kocha unaacha kwenda iringa na timu yako kupambania ushindi unabaki dar kusubiri simba afungwe.Matokeo yake mtaka vyote kwa pupa hukosa vyote.PUMBAF SANA ZAHERA uzi tayari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na Yanga wako hoe hae Zahera anawachangia hawawezi kumfanya chochote na ubingwa wa TPL ndo basi tena
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu hiyo combination ya pendulum na round bottomed flask imeniacha hoi kweliGoli la pili la SIMBA lililofungwa na CHAMA unalizungumziaje Mwalimu kashasha?
" Hili goli linaitwa pendulum ball insector with round bottom flask passing hii hupigwa mara chache sana Kwa mara ya mwisho ilipigwa na adolf hitler mnamo 1939 "
Watu wanaongea kishabiki tu lakini Zahera amepewa kibali cha kazi (work permit) cha kufanya kazi Yanga na siyo permit ya kufanya kazi YANGA & AS VITA, however kawaponza mbinu alizowapa ndo zile zile ziliwauwa wao Yangahuyu zahera inabidi uhamiaji wamuwajibishe haiwezekani afanye uzalendo kwa wacongo wenzie kwenye ardhi yetu
Sent using Jamii Forums mobile app
πππGoli la pili la SIMBA lililofungwa na CHAMA unalizungumziaje Mwalimu kashasha?
" Hili goli linaitwa pendulum ball insector with round bottom flask passing hii hupigwa mara chache sana Kwa mara ya mwisho ilipigwa na adolf hitler mnamo 1939 "
Wale wanaorekodi maajabu ya dunia please naomba msiliache hili jamani eti kocha unaacha kwenda iringa na timu yako kupambania ushindi unabaki dar kusubiri simba afungwe.Matokeo yake mtaka vyote kwa pupa hukosa vyote.PUMBAF SANA ZAHERA uzi tayari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Endeleeni kumwelewa hivyo hivyo huku akizamisha jahazi lenu la Yanga.Zahera ni mkongo unataka akufanyie favour wewe Mtanzania ili iweje? After all kajieleza vyema nadhani wanao tafakari mambo kwa kina wamemuelewa.