Jamaa ni mbinafsi sana. Na hii inaonyesha jinsi watu walivyo wabinafsi. Just imagine jamaa akipata nafasi ya kuwa kiongozi atakuwa fisadi na kumaliza rasilimali zote za nchi.
Huyo jamaa ndio wenye nchi halafu hao madogo wawili ni mimi na wewe! Anakula national cake peke yake halafu sisi tunadanganyiwa kwa kualikwa tule lakini mikono yetu ameikanyaga japo tupo wote mezani lakini mwenye kula national cake ni mmoja.