fisrt selection ziilipotoka, kwa profile yangu niliandikiwa NOT ADDMITED. Nikaona nisichelewe kuapply 2nd round. Ikakubali kwa BAED Saut. Jina langu nikalikuta BeD udom. Na kwenye profile yangu wakaandika niconfirm BeD UDOM, nikaconfirm. Kumbe ile 2nd round niloomba SAUT wakawa ndo wameiconsider instead of my admission to UDOM. Axa naingia tena juzi kwenye profile yangu nakuta ile confirmation status ya UDOM wameitoa. Nikajua haitoleta shda, bt wenzangu wakanambia kwao haijatolewa, ndipo nikawapigia TCU. Sikuamin masikio yangu baada ya kuambiwa nifungue kwenye 2nd round application na nitakuta huko kama nimechaguliwa. Nilishangaa kwan hata jina langu lipo kwenye list ya Udom, axa nitachaguliwa vipi mara mbili? Nilipofungua nikakuta kweli nimeandikiwa Admitted kwa BAED SAUT Mwanza. Sikipendi chuo hiki, nataman nirudishwe UDOM, ushauri kwa anayefaham jambo hili, coz tcu hawapokei tena sim yangu na niko mikoani