Sina hamu na wadada wa kizungu

Umeshindwa kusomesha kiumbe chako huko huko ureno.... Kwa hatua hii ungekuwa na chotara ureno ila na ujanja huo umekushinda niazime hiyo gari niwe nazungukia kukwondoa mawazo
 
Mimi hizo nguo naziomba nifungue biashara ya mtumba
Mtaji huo kabisa maisha yenyew magumu
 

Mkuu nipe mm hizo nguo na viatu nizifanyie biashara ya mtumba
 
Sasa mkuu umeachiwa vyote hivyo bado unalalamika? Na nguo zake kakuachia uvae... Sasa ulitaka akupe nini zaidi?
Yani watu mna maneno ..eti na nguo zake kakuachia uvae..hahahaa si atagawia ndugu zake mwee
 
mbona we unaafazari kuna msela mmoja mmsai alikutana na manzi wa kizungu Nairobi bac kama bahati yule manzi akahamia bongo akamvuta yule mmasai wa watu na kumbuka yule mmasai alikotoka kwao umasaini alikuwa na family bro yule mmasai alikuwa anaishi kwa mzungu yaam jamaa alikuwa hajui hata ku drive bwanaa wee siku ya siku yule mzungu alirudi kwaoo na kumuacha mmasai wa watu ktk mataa kama ya pale mwenge LOL yule masai alirejea kwao kulinda boma lake empty end sss si bora ww umeachiwa makorokoro kibaooo
 
Alikutumia kimapenz.Kakuchoka kakumwaga.Huenda ulikuwa mzigo kwake
 
Mwanamke ni kiumbe katili mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mkuu umeachiwa vyote hivyo bado unalalamika? Na nguo zake kakuachia uvae... Sasa ulitaka akupe nini zaidi?
Mkuu nilichogundua jamaa kaumia kwasabab mzungu hakua amenunua nyumba bali alipanga.Sasa hicho hata mm kingeniuma maana jamaa alitaman zaid kama nyumba nayo angeachiwa
 
Na bora alivyoondoka kimya kimiya.

Inaonekana ni kweli kwamba ungemletea kauzibe dada wa watu kwa nongwa hiyo.

Kaona mbali sana huyo mdada.
 
Pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…