RUKUKU BOY
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 1,516
- 1,775
- Thread starter
-
- #41
Mzigo nimekula vya kutoshaUlikula mzigo au ulipumbazika na love story and loveplay? Mkuu vaa tu hizo nguo si ndio huwa tunazichagua hapo mchikichini kwa chinga?
HamnaAlihaidi kukuoa na kukupa maisha mazuri nini?
SanaMkuu papuchi ya kizungu ipo vizuri?
KaribuMkuu naomba unigawie mie izo nguo nikawauzie dada zetu huku mtaani
Haaaa me nilimpenda sana huyu dadaTatizo la kupenda bila akiba...! Hata mm ningetabasamu... Ningesahau ningemtafuta ngalandefu tukalishongeza.
KaribuIzo nguo si unigeie jamani nianzishe biashara ya mtumba na ivi zinajaa lory ujue huo ni mtaji
Nilikuwa sina demu wa kibongo maana demu alikuwa na wivu balaaHa haaa.. We jamaa bhana..siyo kwamba ameachiwa ili Hzo nguo atumie kuwaonga mademu zake wapya
Karume KengeAlfu lela u lela.....Esopo......
Umenkumbusha counterpart mmja hv yani mpaka akawa anajiita(...) Hair everywhere[emoji1] , ukizubaa unazikuta kwenye msosiPole sana mkuu. Ila mwana kinachoniboa madem wa kizungu ni nywele aisee. Yani mkikaa geto nywele kwenye sinki, kapeti, mdomoni , kitandani dah. Umenikumbusha mbali sana chief.
Wakuu pole na shughuli za kila siku, Mimi ni kijana nafanya kazi kwenye kampuni moja ya kimataifa apa Tanzania.
Kutokana kuwa kampuni kuwa ya kimataifa uwa wanaletwa wafanyakazi kutoka maeneo tofauti duniani. mwezi wa pili mwaka Jana kuna dada aliletwa ni mzungu, basi alipangwa kwenye kitengo ambacho nipo Mimi.
Baada ya muda tulizoeana na yule dada yaani me ndo nilikuwa rafiki yake na kama ndugu, huyu dada alikuwa kapanga nyumba nzima apa Dar, baada ya muda mazoea yalizidi tulijikuta tushakuwa wapenzi, kwa kweli alinipenda na Mimi nkampenda, inshort tulienjoy na tukapeana promise kibao.
Mwezi wa 8 mwaka huu alipata safari ya kikazi akaniachia kila kitu ili niwe naviangalia aliniachia nyumba yake pamoja na gari, usiku wa tarehe 17 mwezi wa10 sitausahau kwani aliniambia ukweli kuwa ameamishwa kikazi na amepelekwa Lisbon-Ureno, aliniambia aliogopa kuniambia akiwa TZ eti ningeumia sana na huenda ningemfanyia ujuma ili asihame, nilipo muuliza Manager akaniambia kuwa yele dada ameamishiwa ureno na harudi tena bongo.
Yaani nimeumia saaaaaaana, yule dada akaniambia kila kitu alichoacha nichukue ameacha vitu vingi Kama Gari, nguo zake unaweza jaza Lori, na vitu vya ndani, fridge, computer, n. k na kuniambia nimwambie baba mwenye nyumba kuwa mpangaji wake harudi tena, kwakweli nimemjibu kuwa nilikupenda wewe hvyo vitu vyako sivipendi.
NB. Wanaume tusikurupuke na wasichana wa kizungu.
Sasa mbona sioni sehemu ambayo unaonesha huna hamu nae inaonesha una hamu nae tena sanaWakuu pole na shughuli za kila siku, Mimi ni kijana nafanya kazi kwenye kampuni moja ya kimataifa apa Tanzania.
Kutokana kuwa kampuni kuwa ya kimataifa uwa wanaletwa wafanyakazi kutoka maeneo tofauti duniani. mwezi wa pili mwaka Jana kuna dada aliletwa ni mzungu, basi alipangwa kwenye kitengo ambacho nipo Mimi.
Baada ya muda tulizoeana na yule dada yaani me ndo nilikuwa rafiki yake na kama ndugu, huyu dada alikuwa kapanga nyumba nzima apa Dar, baada ya muda mazoea yalizidi tulijikuta tushakuwa wapenzi, kwa kweli alinipenda na Mimi nkampenda, inshort tulienjoy na tukapeana promise kibao.
Mwezi wa 8 mwaka huu alipata safari ya kikazi akaniachia kila kitu ili niwe naviangalia aliniachia nyumba yake pamoja na gari, usiku wa tarehe 17 mwezi wa10 sitausahau kwani aliniambia ukweli kuwa ameamishwa kikazi na amepelekwa Lisbon-Ureno, aliniambia aliogopa kuniambia akiwa TZ eti ningeumia sana na huenda ningemfanyia ujuma ili asihame, nilipo muuliza Manager akaniambia kuwa yele dada ameamishiwa ureno na harudi tena bongo.
Yaani nimeumia saaaaaaana, yule dada akaniambia kila kitu alichoacha nichukue ameacha vitu vingi Kama Gari, nguo zake unaweza jaza Lori, na vitu vya ndani, fridge, computer, n. k na kuniambia nimwambie baba mwenye nyumba kuwa mpangaji wake harudi tena, kwakweli nimemjibu kuwa nilikupenda wewe hvyo vitu vyako sivipendi.
NB. Wanaume tusikurupuke na wasichana wa kizungu.
HaaaaaWew unatakiwa upate mmachame ili mwisho wa siku akuachie nguo ulizovaa tu dadeki
Sina mpango na vitu vyake ntavigawaMkuu mi nahitaji hiyo computer na fridge kama unaviuza nitafute
Nataka arudi tena tuendelee kuwa wotesijui unataka mungu akupe nini tena alafu wee jamaa ww [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
IpoComputer si bado ipo?
Duu sasa me ntajuaje bei yakeTufanye biashara ya nguo basi