Mkuu ulitaka nilie kabisaSasa mbona sioni sehemu ambayo unaonesha huna hamu nae inaonesha una hamu nae tena sana
Masikini pole hujui ulisemaloUkiwa una njaa utaanza kutamani hata mawe yageuke yawe mkate.Mtoa mada katamani litokee jambo kama hilo kwenye maisha yake
embu achana na hayo mambo ww jamaa 😂😂😂Nataka arudi tena tuendelee kuwa wote
Fia mbeleNipe hivyo vitu vyake vya ndani Kama pichu nifanye vitu vyangu atarudi tu bongo
Ada 500
Vifaa 150000
Sio utani MkuuFia mbele
OK shukrani ndugu njoo nkupe kanguo Kake kamoja[emoji16][emoji16][emoji16]embu achana na hayo mambo ww jamaa [emoji23][emoji23][emoji23]
yani mtu kakuachia hadi na urithi alafu bado sijui unawaza nn
OK shukrani ndugu njoo nkupe kanguo Kake kamoja[emoji16][emoji16][emoji16]
Siuzi gari kuna mtu ntampanguo tumia kuhonga vidada vya dar utavila kwa urahisi...
bajeti ya shoping inakuwa hakuna
labda toungee biashara ya gari ni model gani maana lady driven tena mzungu hata kama second hand itakuwa imesimama tu
gari usihonge tu mkuu.... 😂 hizo nguo ndio uhongeSiuzi gari kuna mtu ntampa
Sipati picha utakapopiga hizo min skirt za kizungu[emoji23][emoji23][emoji23] kama dalili za kumuenzi. Ila tu usiwaze, mapenzi hayana umbali, utamfuata huko huko na maisha yataendeleaWakuu pole na shughuli za kila siku, Mimi ni kijana nafanya kazi kwenye kampuni moja ya kimataifa apa Tanzania.
Kutokana kuwa kampuni kuwa ya kimataifa uwa wanaletwa wafanyakazi kutoka maeneo tofauti duniani. mwezi wa pili mwaka Jana kuna dada aliletwa ni mzungu, basi alipangwa kwenye kitengo ambacho nipo Mimi.
Baada ya muda tulizoeana na yule dada yaani me ndo nilikuwa rafiki yake na kama ndugu, huyu dada alikuwa kapanga nyumba nzima apa Dar, baada ya muda mazoea yalizidi tulijikuta tushakuwa wapenzi, kwa kweli alinipenda na Mimi nkampenda, inshort tulienjoy na tukapeana promise kibao.
Mwezi wa 8 mwaka huu alipata safari ya kikazi akaniachia kila kitu ili niwe naviangalia aliniachia nyumba yake pamoja na gari, usiku wa tarehe 17 mwezi wa10 sitausahau kwani aliniambia ukweli kuwa ameamishwa kikazi na amepelekwa Lisbon-Ureno, aliniambia aliogopa kuniambia akiwa TZ eti ningeumia sana na huenda ningemfanyia ujuma ili asihame, nilipo muuliza Manager akaniambia kuwa yele dada ameamishiwa ureno na harudi tena bongo.
Yaani nimeumia saaaaaaana, yule dada akaniambia kila kitu alichoacha nichukue ameacha vitu vingi Kama Gari, nguo zake unaweza jaza Lori, na vitu vya ndani, fridge, computer, n. k na kuniambia nimwambie baba mwenye nyumba kuwa mpangaji wake harudi tena, kwakweli nimemjibu kuwa nilikupenda wewe hvyo vitu vyako sivipendi.
NB. Wanaume tusikurupuke na wasichana wa kizungu.
[emoji48][emoji48][emoji48][emoji81][emoji81]Ukiwa una njaa utaanza kutamani hata mawe yageuke yawe mkate.Mtoa mada katamani litokee jambo kama hilo kwenye maisha yake
wanaume wa dar😛Wanaume wa ni shidaaaaaaah
Katuletea chai huyukwani hukujua kuwa ataondoka nchini siku moja? unaweza kumfata pia
Huku kwetu kuna msemo ni heri kulia kwenye range kuliko kwenye baiskeli, jifute machozi washa mkoko ulioachiwa nenda ukabarizi upepo beach bwana.
Hamna kituMzigo nimekula vya kutosha